Hapana
Ume test na wewe?Hata ikiwa ina support 5G Data haikubali kuwaka..
Chief asante sana kwa mwongozo. Binafsi naweza ku afford ila sikuitaka kuchagua huduma ghali sana maana sina matumizi makubwa na ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani pekee. Otherwise nimekusoma mkuu.Mitandao ya simu speed sio kama Fiber ila reliability ni uhakika, Bora ukomae na 5G kama unaweza ku afford.
Hawa jamaa mambo yao wanafanya kitanzania kabisa, hakuna uwazi, pengine hata sio kampuni unaweza kuta kulikua na ofa 70k kifurushi cha biashara mtu akabamizwa akalipia router watu wamekula hela.Nimeona malalamiko ya wadau huko Insta kuhusu vifurishi vya 5g vya AirtelView attachment 2851870
Ambayo sio unlimited data? Router yoyote itafanya hio kazi maana ndogo zaidi ni watu 10.Naomba kujua bei elekezi kwa 4G router ya Vodacom inayoweza ku-connect devices 5.
Nataka Unlimited, kuna hii R20 4G LTE ya Vodacom ina-connect devices 32 wanauza TZS 145,000 hii itakuwa nzuri?Ambayo sio unlimited data? Router yoyote itafanya hio kazi maana ndogo zaidi ni watu 10.
Piq usinunue ya Voda tafuta unlocked mitandao yote ni chini ya laki unapata
ZA unlimited zinakuja na vifurushi, hio model nimecheki inakuja result moja tu ya jiji una full model yake!Nataka Unlimited, kuna hii R20 4G LTE ya Vodacom ina-connect devices 32 wanauza TZS 145,000 hii itakuwa nzuri?
Juzi kati nilienda kutafuta Router kariakoo nikapata hii hapa kwa 110k.Ambayo sio unlimited data? Router yoyote itafanya hio kazi maana ndogo zaidi ni watu 10.
Piq usinunue ya Voda tafuta unlocked mitandao yote ni chini ya laki unapata
Kwa matumizi madogo Haina neno ila N300 ni wifi 4 speed yake ndogo pengine isikubali 4G advanced za mitandao mingi, ikubali tu 4G basic.Juzi kati nilienda kutafuta Router kariakoo nikapata hii hapa kwa 110k.
Za Tp-link na Dlink zinazosupport sim card bei yake ipo juu kidogo kuanzia 150kView attachment 2852256
Nataka nione majibu yao ya mwishoNimeona malalamiko ya wadau huko Insta kuhusu vifurishi vya 5g vya AirtelView attachment 2851870
Lakini humu si kuna wadau waliokuwa wamelipia connection fee na wananunua hicho cha 70KHawa jamaa mambo yao wanafanya kitanzania kabisa, hakuna uwazi, pengine hata sio kampuni unaweza kuta kulikua na ofa 70k kifurushi cha biashara mtu akabamizwa akalipia router watu wamekula hela.
Mimi bado kipo na leo nimejaribu kama nalipia nimekiona kipoLakini humu si kuna wadau waliokuwa wamelipia connection fee na wananunua hicho cha 70K
Vipi wadau hicho kifurushi kishaliwa kichwa mmefanya siri?
Kingsmann
Sawa hizo promotion kafanyie kwa basha wako sasa dadanguOlewa tu
Hapana mkuu, kifurushi hakijaliwa kichwa kipo palepalee..Lakini humu si kuna wadau waliokuwa wamelipia connection fee na wananunua hicho cha 70K
Vipi wadau hicho kifurushi kishaliwa kichwa mmefanya siri?
Kingsmann