Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Asante Kaka, samahan tena lakini hizo movie zilizo kwenye link sio bongo movie za kawaida na ukizisachi kwenye stremio zipo tatizo ni torrent maalumu ya kuzipakua ndo sijajua, hata mamuvi ya kizungu yapo mengi ukisachi lakini hayana torrent ya kuzipakua mimi naamini hizo movie zinapakulika shida ni torrent naombeni mnisaidie hapo
 
Unblockit - Access your favourite blocked sites pita kwenye hizo site zilizomo umu labda utabahitika ,pia na wasiwasi io stremio itakua inapull info (cast,plot) kutoka imdb kwani ulivosearch umewza kuziplay.
Mimi situmii io stremio
 
Dah!kumbe walikua wanakilia timing wakipige chini!kwahiyo now voda na airtel vifurushi vyao vya unlimited ni vya 115000 tu!?
me kwangu airtel cha 70k kipo ndiio natumia na nilipewa maelekezo kwa nini cha 70k kwa wengine hakipo.
ukitka upate kwa ela chini ya 270k utapata mwezi mmoja then cha mbele ni 110k kwa maana unaungwa upande wa enterprise
 
Mkuu coverage internet ya airtel kwa dar nje ya mji ndani ndani huko unafahamu iko vipi?

Maana next week naweza kuchukua hiyo router yao halafu isinipe ninachotegemea
 
hyo link ya airtel itaonesha minara iliyokarbu na wewe mnara ukiwa mbali sana performance inapungua
 
Mkuu coverage internet ya airtel kwa dar nje ya mji ndani ndani huko unafahamu iko vipi?

Maana next week naweza kuchukua hiyo router yao halafu isinipe ninachotegemea

ingia hapo boss search eneo lilipo filter 5g na 4g uone minara ya eneo ulilopo... me niko nje ya mji ila natumia vzuri sana hainipi tatzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…