Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

nilieka yangu data inajiwasha na kuzima yenyewe na sio simu tu ata kwenye router ya kawaida wameeka namna haifanyi kazi.... nadhani zile zimekua registered kwa router zenyewe kama sikosei
Yeah basi hicho ndio kilichonikuta na mimi

Sasa swali langu lipo lwa hao wanaosema wanapewa line peke yake bila Router, wao wanatumiaje?
 
Eneo nililopo naona 5G hamna ila 4G mnara upo kama kilomita 2. Sijajua kama hiyo router itafanya vizuri sehemu nilipo. Naomba uzoefu waku performance ya router mnara ukiwa mbali kilomita 2.
 
Tafuta mtu mwenye laini ya Airtel muwekee bundle then test speed kama siku mbili tofauti hapo utajua nini utakuwa unapata ukishachukua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sa itakuwaje
Mi nilikuwa nataka hicho kifurushi kiwepo japo hata kingekuwepo ningekuwa bado nanunua cha 110K

Ila nitaka tu kiwepo kama backup katika siku ambazo nitakwama niweze kununua.

Saizi nashare na baadhi ya watu ndio maana niko confortable na bei hiyo
 
Mtandao wake unasambaa umbari wa mita ngapi,au hadi muwe nyumba moja mkuu,mmoja gorofa pili wewe ya tatu?
 
Wale wa Airtel 5G Speed ipoje? 10Mbps inakuwa fresh? nipo mitaa ya mbezi luguruni airtel wanasema 5G inapatika kote Dar sasa hivi kwahyo huko hakuna shida, maana natka kuchukua hii au Voda sema voda gharama juu kidogo
 
Kama Kuna simu ya 5G test, si kweli kwamba 5G coverage ipo dar nzima, 5G unaweza kua km 1 toka mnara na usiipate, ipo sensitive sana na vikwazo kama miti, milima, Majengo marefu etc.
 
Simu nna 4G tu ambayo inajitahidi kidogo , nahofia kununa na device yao halafu iwe miyayusho
Natumiaga ile ya 30+ GB sa SME hainaga shida ila muda mwingine tu inaweza kuwa slow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…