Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Umenipa bonge moja la wazo mkuu
 
Hiii changamoto ya internet ya Airtel kuwa chini ni kwangu tu au Kuna wengne pia wanapitia yhn mtandao umekua chini mpaka unaboa nimejalibu kuongea na alienifungia anadai kuwa hata yeye hajui maana wateja wengi wanampa lawama
 
hata kwangu mtandao upo chini
 
asante mkuu.
 
Msaada wakuu mimi niko na shida ya kuangalia mpira ligi ya bongo nina smartphone ina bando mchawi ni account ya azamTv max yangu kifurushi kimeisha sasa hapa usawa haukabi kwa mwenyewe azamTv decoder ambae hatumii kweny cm au hata anaetumia anisaidie ni angalie hata kwa leo tu wajameni.. Au aje tubadilishane anipe ya azamTv mimi nimpe ya Dstv.. Asante, Dm tafadhari.
 
Hivi mkuu kuna tofauti gani hasa kati ya hizi box na sticks?Mfano kuna tofauti gani kati ya Xiaomi Mi box s na Xiaomi mi TV stick?
 
Hivi mkuu kuna tofauti gani hasa kati ya hizi box na sticks?Mfano kuna tofauti gani kati ya Xiaomi Mi box s na Xiaomi mi TV stick?
Stick hazina nguvu na ni inferior kwa box za kawaida sema unaweza ukaziwasha kwa umeme wa tv, ukichomeka kwenye tv na ki usb kidogo kinatoka kwenye tv kwenda kwenye stick basi unasahau, ukiwaSha tv na stick kinawaka na kizima tv na stick inazima, hapa inakua rahisi na inakua kama part ya tv, hasa kama nyumbani una watoto inasaidia.

Box za kawaida zenyewe zina nguvu zaidi sema zitahitaji sehemu ya kuchomeka adapter separately, itabidi ukiwaSha tv nayo uiwashe.
 
Ndugu wakuu nataka kununua ROUTER lakini naomba ushauri wenu. Ni router ipi ninunue kati ya TIGO na AIRTEL?
Kutokana na vifurushi kubadilika tafuta router ambayo ni univesal au ambayo inaweza kuwa unlocked na ukatumia mitandayo yote.
Fikiria leo umenunua Airtel, kesho utataka kununua Tigo, Halotel au Voda. Umeenda nje ya nchi au kijijini ambako airtel haikamatiki wala tigo bali ni voda tu utalazimika kununua router nyingine tena.
Utajikuta una router 4 na zote ukipiga hesabu umetumia pesa ambayo ungenunua universal router ungepata nzuri sana.
Ni ushauri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…