Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nilibwagana nao kitambo

Wahuni wale wana uongo uongo mwingi sio wa kuwaamini.

Nguzo sita za nini kwani hapo hakuna nguzo za TANESCO?

Hapo ndio wanakukataa kimtindo kwasababu TTCL iliingia ubia na TANESCO ku share nguzo kwa ajili ya kupitisha fiber cable.

Sasa nguzo sita zinakujaje?

Miyeyusho sana hao majamaa
Daah we acha tu nguzo za umeme zipo tu kibao. Ivi kuna mtu yoyote anaweza nishauri inatneti nyingine nzuri ya fiber ukiachana na hizi za voda na airtel
 
WhatsApp

0762018413
Screenshot_20240226-172944.jpg
 
Nilibwagana nao kitambo

Wahuni wale wana uongo uongo mwingi sio wa kuwaamini.

Nguzo sita za nini kwani hapo hakuna nguzo za TANESCO?

Hapo ndio wanakukataa kimtindo kwasababu TTCL iliingia ubia na TANESCO ku share nguzo kwa ajili ya kupitisha fiber cable.

Sasa nguzo sita zinakujaje?

Miyeyusho sana hao majamaa
Hapa kwenye ubia na Tanesco mi nawasi wasi napo maana siasa nazo 🙌.
Binafsi sijawahi ona fiber ya TTCL katika nguzo za Tanesco zaidi ya ile fiber yao Tanesco.

Mwenye ameshawahi iona fiber ya TTCL inaingia nyumbani kwa mtu kupitia nguzo za Tanesco atatumie picha hapa tuone.
 
Chief mkwawa ni 50k mkononi napata MIFI gani au Kifaa gani cha Internet ?
Chief-Mkwawa
Mifi ya tigo Inatoka lock temporary, kila ukiwa Sha inabidi utoe lock, unapata kwa hio bei mpya.

Otherwise tafuta tu wifi za mtumba zipo kibao, siku hizi watu wanatumia smart kitochi kama Mifi,

Pia kama una powerbank zipo zile modem za wifi around 30,000-40,000 hivi unaweka line ukichomeka modem kwenye powerbank unapata wifi.
 
Hapa kwenye ubia na Tanesco mi nawasi wasi napo maana siasa nazo 🙌.
Binafsi sijawahi ona fiber ya TTCL katika nguzo za Tanesco zaidi ya ile fiber yao Tanesco.

Mwenye ameshawahi iona fiber ya TTCL inaingia nyumbani kwa mtu kupitia nguzo za Tanesco atatumie picha hapa tuone.
Wanatumia sana mkuu sema tu ujazingatia kuangalia.
 
Shukran mkuu nimepata Airtel MiFi japo nilitamani ya halotel ni 130k nzuri sana ila hata hii ya Airtel sio mbaya sana landa bando la ofa likiisha ndo itakua balaa
 
Hapa kwenye ubia na Tanesco mi nawasi wasi napo maana siasa nazo [emoji119].
Binafsi sijawahi ona fiber ya TTCL katika nguzo za Tanesco zaidi ya ile fiber yao Tanesco.

Mwenye ameshawahi iona fiber ya TTCL inaingia nyumbani kwa mtu kupitia nguzo za Tanesco atatumie picha hapa tuone.
Fiber za TTCL kama sehemu ina nguzo za Simu za mezani wanatumia hizo, sehemu nyingine wanachimbia nguzo zao hawatumii za Umeme kabisa..
 
Dili sjajua kama lilifeli au ndo wanazungusha tu maana ukiwaambia kuhusu nguzo za tanesco wanaanza kuleta mlolongo mrefu inabidi watume maombi tanesco ndo then tanesco wapitishe mara kuna idadi maalamu ya hizo nguzo zenyew.

Mwisho wa siku ttcl ni wao wenyewe ndo wanajua nini wanafanya maana ndo wameshika mpini
 
Back
Top Bottom