JuniorDarilson_
Member
- Feb 19, 2024
- 55
- 66
Daah we acha tu nguzo za umeme zipo tu kibao. Ivi kuna mtu yoyote anaweza nishauri inatneti nyingine nzuri ya fiber ukiachana na hizi za voda na airtelNilibwagana nao kitambo
Wahuni wale wana uongo uongo mwingi sio wa kuwaamini.
Nguzo sita za nini kwani hapo hakuna nguzo za TANESCO?
Hapo ndio wanakukataa kimtindo kwasababu TTCL iliingia ubia na TANESCO ku share nguzo kwa ajili ya kupitisha fiber cable.
Sasa nguzo sita zinakujaje?
Miyeyusho sana hao majamaa