View attachment 2893292
Nilichukua huu mzigo wa 10Mbps uko poa sana nilikuwa nahofia huku mbezi ndani ndani itazingua , 5G haitopanda ndio lakini sidhani kama utahitaji 5G kwa 10 Mbps sababu hii 4G+ muda wote speed inakwamia 12Mbps na mimi huwa muda wote na stream up to 1440p bila shida
Mfano wa streams nazotumia
Dstv stream - ipo fresh
Azam max - Ipo fresh
Netflix - fresh kabisa
Amazon prime - Fresh
Tubi - Fresh
Kodi fresh
Na streaming services nyingine kama Plex , Pluto tv , crackle , Xumo play etc
Nia ilikuwa kuachana na Ma dish kwa sasa kukomaa online tu