Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu kwa uzoefu wako ipi ni kampuni bora linapokuja swala la android smart tv, samsung, hisensi, tcl nk..? na kuna tofauti gani kati ya andriod tv za kawaida na zenye google tv
 
Mkuu kwa uzoefu wako ipi ni kampuni bora linapokuja swala la android smart tv, samsung, hisensi, tcl nk..? na kuna tofauti gani kati ya andriod tv za kawaida na zenye google tv
Google tv ndio android TV ni muonekano tu, na Hisense, Samsung na LG sio android TV wana os zao wenyewe, Hisense ni vidaa, Samsung ni Tizen na LG ni webos.

TCL, Sony, Haier, Philips etc wanatumia Android TV.

Tv ikiwa haina Android tv ndio watu wanaweka hizo tv box.
 
Kuna jamaa yangu mmoja kakutana na jamaa anasajili line maalumu za halotel but huwezi kupiga wala kupokea simu. Hiyo ni ya internet tu.

Week gb 4 kwa 5000

Mwezi gb 18 kwa 15,000

Mwezi gb 38 kwa 30,000
 
Kaka vp process inaendaje? Mm leo waneniambia nguzo sita zinaitajika
 
Kaka vp process inaendaje? Mm leo waneniambia nguzo sita zinaitajika
Nilibwagana nao kitambo

Wahuni wale wana uongo uongo mwingi sio wa kuwaamini.

Nguzo sita za nini kwani hapo hakuna nguzo za TANESCO?

Hapo ndio wanakukataa kimtindo kwasababu TTCL iliingia ubia na TANESCO ku share nguzo kwa ajili ya kupitisha fiber cable.

Sasa nguzo sita zinakujaje?

Miyeyusho sana hao majamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…