JuniorDarilson_
Member
- Feb 19, 2024
- 55
- 66
Daah we acha tu nguzo za umeme zipo tu kibao. Ivi kuna mtu yoyote anaweza nishauri inatneti nyingine nzuri ya fiber ukiachana na hizi za voda na airtelNilibwagana nao kitambo
Wahuni wale wana uongo uongo mwingi sio wa kuwaamini.
Nguzo sita za nini kwani hapo hakuna nguzo za TANESCO?
Hapo ndio wanakukataa kimtindo kwasababu TTCL iliingia ubia na TANESCO ku share nguzo kwa ajili ya kupitisha fiber cable.
Sasa nguzo sita zinakujaje?
Miyeyusho sana hao majamaa
Umechukua mbadala upi?Kaka vp process inaendaje? Mm leo waneniambia nguzo sita zinaitajika
Kwa muda gani?
MweziKwa muda gani?
Hapa kwenye ubia na Tanesco mi nawasi wasi napo maana siasa nazo 🙌.Nilibwagana nao kitambo
Wahuni wale wana uongo uongo mwingi sio wa kuwaamini.
Nguzo sita za nini kwani hapo hakuna nguzo za TANESCO?
Hapo ndio wanakukataa kimtindo kwasababu TTCL iliingia ubia na TANESCO ku share nguzo kwa ajili ya kupitisha fiber cable.
Sasa nguzo sita zinakujaje?
Miyeyusho sana hao majamaa
Mifi ya tigo Inatoka lock temporary, kila ukiwa Sha inabidi utoe lock, unapata kwa hio bei mpya.Chief mkwawa ni 50k mkononi napata MIFI gani au Kifaa gani cha Internet ?
Chief-Mkwawa
Wanatumia sana mkuu sema tu ujazingatia kuangalia.Hapa kwenye ubia na Tanesco mi nawasi wasi napo maana siasa nazo 🙌.
Binafsi sijawahi ona fiber ya TTCL katika nguzo za Tanesco zaidi ya ile fiber yao Tanesco.
Mwenye ameshawahi iona fiber ya TTCL inaingia nyumbani kwa mtu kupitia nguzo za Tanesco atatumie picha hapa tuone.
Town? Nje mji? Au wapi?Wanatumia sana mkuu sema tu ujazingatia kuangalia.
Hiki kifurushi ni cha bei gani?
Hapa kwenye ubia na Tanesco mi nawasi wasi napo maana siasa nazo 🙌.
Binafsi sijawahi ona fiber ya TTCL katika nguzo za Tanesco zaidi ya ile fiber yao Tanesco.
Mwenye ameshawahi iona fiber ya TTCL inaingia nyumbani kwa mtu kupitia nguzo za Tanesco atatumie picha hapa tuone.
Shukran mkuu nimepata Airtel MiFi japo nilitamani ya halotel ni 130k nzuri sana ila hata hii ya Airtel sio mbaya sana landa bando la ofa likiisha ndo itakua balaaMifi ya tigo Inatoka lock temporary, kila ukiwa Sha inabidi utoe lock, unapata kwa hio bei mpya.
Otherwise tafuta tu wifi za mtumba zipo kibao, siku hizi watu wanatumia smart kitochi kama Mifi,
Pia kama una powerbank zipo zile modem za wifi around 30,000-40,000 hivi unaweka line ukichomeka modem kwenye powerbank unapata wifi.
Airtel 50K pia Sema sijajua kama inatoka lokiShukran mkuu nimepata Airtel MiFi japo nilitamani ya halotel ni 130k nzuri sana ila hata hii ya Airtel sio mbaya sana landa bando la ofa likiisha ndo itakua balaa
Fiber za TTCL kama sehemu ina nguzo za Simu za mezani wanatumia hizo, sehemu nyingine wanachimbia nguzo zao hawatumii za Umeme kabisa..Hapa kwenye ubia na Tanesco mi nawasi wasi napo maana siasa nazo [emoji119].
Binafsi sijawahi ona fiber ya TTCL katika nguzo za Tanesco zaidi ya ile fiber yao Tanesco.
Mwenye ameshawahi iona fiber ya TTCL inaingia nyumbani kwa mtu kupitia nguzo za Tanesco atatumie picha hapa tuone.
Dili sjajua kama lilifeli au ndo wanazungusha tu maana ukiwaambia kuhusu nguzo za tanesco wanaanza kuleta mlolongo mrefu inabidi watume maombi tanesco ndo then tanesco wapitishe mara kuna idadi maalamu ya hizo nguzo zenyew.Fiber za TTCL kama sehemu ina nguzo za Simu za mezani wanatumia hizo, sehemu nyingine wanachimbia nguzo zao hawatumii za Umeme kabisa..
Kama ni ile M022T Airtel Vida. Inatoka lock ila ni temporaryAirtel 50K pia Sema sijajua kama inatoka loki
Speed iko njema?TTCL Unlimited:
From 0600HRS - 0900HRS, enjoy unlimited internet for free. No VPN no files, just your line!
Hii imeanza Lin mkuuTTCL Unlimited:
From 0600HRS - 0900HRS, enjoy unlimited internet for free. No VPN no files, just your line!