Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hizi ni Starlink ninazo zniona aliexpress na alibaba .. au ni starlink ya elon?
 
Kuna options kibao, hizi package za sme, pia kuna zile unlimited uamuzi ni wako
 
Kuna options kibao, hizi package za sme, pia kuna zile unlimited uamuzi ni wako
Mkuu unhetoa mfano sabbu Mimi nikenda kwenye lain yangu ya kawaida sizioni hizo optionz za kupata baundle kybwa za internate kwa reasonable price.Actually unakuta 2300 kwa 2 GB aharafu inasiha haraka
 
Japo gharama zao ni kubwa kidogo ukilinganisha na makampuni mengine yanayotoa huduma ya Fiber nchini (
Shilingi 70,000/= ambapo unatumia kasi ya 10mbps kwa shilingi 100,000/= unatumia kasi ya 20mbps kwa shilingi 150,000/= unatumia kasi ya 50mbps kwa shilingi 200,000/= unatumia kasi ya 100mbps) Kwa mujibu wa majibu waliyoyatoa Instagram. Ninaamini hii ni hatua nzuri sana; hususani kama wenzao nao pia wataanza kuingia kwenye hili soko -- maeneo zaidi yatapata hii huduma na kwa sababu ya competition na bei nazo zitakuwa nafuu.
 
Hivi Vodacom wanaline hizo za internet tu?
Walikua na wao na Sme kwa muda mfupi Sana ghafla zimepotea, sijui walipatwa na na nini. Zinapiga simu na internet ila mfano wake ni kama hizo line za Halotel za internet unapata GB nyingi kwa gharama ndogo.

Pia wana unlimited za 4G/5G sema hizo bei ndefu 115,000 kupanda.
 
Mimi nawapa ushauri wabure Hawa ISP wetu sasa hivi watu wanataka urahisi wa matumizi ya hivi vifaa namaanisha routers.

Nawapa wazo mmoja kama itawezekana, kama internet inatumia Laini ya simu Ni Bora kuwepo na line ambayo MTU Ni unlimited ambayo utainunua Kwa Kwa 5000 au 10000 ila inakuwa na vifurushi vya unlimited Kwa mfano waanze na 40000 Kwa speed ya 10mbps, 70000 15 Mbps, 100000 20mbps, 130000 30mbps etc.

Laini hiyo iwe free Kwa MTU akijisikia kuweka bando aweke. iSp watapata faida kwenye manunuzi ya Laini na endapo MTU atanunua vifurushi kuliko huyu mfumo WA sasa hununui routers hupati Laini na still doesn't work kwenye simu ukiiweka hiyo Laini. Mimi naona makosa waliyofanya Ni kulazimisha ununuzi wa router na free router Kwa wale bando kubwa, ingebaki Kwa mnunuzi mwenyewe angependa router au bila router Laini kutokana na nature ya matumizi.

Wabaki na kuuza VIFURUSHI VYAO TU kuhusu router ibaki maamuzi ya mteja.

Mfano Mimi Nina router unaweka Laini yoyote ikontu but still siwezi kuwa na ya ziada for sake of lain zao na mara nyingi natumia Halotel wako vizuri Sana.

Jaribuni hii idea mtaona mwitikio wa wateja

Angalizo
Muwe WA kweli kwenye huduma mtakazo toa sio longolongo la speed au network coverage lazima iwe 4g 5g ili upate service

Ni Hayo
Mwenye wazo au aongezee akosoe it's for better
 
Boss kwema vipi menu ya 70k ya 10 mbps imekuja kuonekana kwako ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…