Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Walikua na wao na Sme kwa muda mfupi Sana ghafla zimepotea, sijui walipatwa na na nini. Zinapiga simu na internet ila mfano wake ni kama hizo line za Halotel za internet unapata GB nyingi kwa gharama ndogo.

Pia wana unlimited za 4G/5G sema hizo bei ndefu 115,000 kupanda.
Anaejua namna ha kupata/kuunga hiyo Unlimited ya Halotel reply hapa 🙏🏾
 
Sio MI-FI?
Hapana kaka ni kama sa mwanzo ila hii ni portable kwa wale tunaobeba kwenye begi na kwenda maeneo tofauti
20240419_164948.jpg
 
Anaejua namna ha kupata/kuunga hiyo Unlimited ya Halotel reply hapa 🙏🏾
Mm pia nIitafuta hii sio kwenye site yao or social media wala agents wa halotel anajua km unlimited service ipo kwao wao wanaongelea tu GB za kununua and una top up kutokana na unavyotumia
Kingine natafuta line ya data pekee sijajua naipataje
 
Kwa urahisi zaidi nenda haloshop.
Maana hawa ma agent wa mitaani wanatamaa line ya bure wao wanataka 5000 hadi 10000.

Sharti ni moja tu ukisajili basi lazime uunge kifurushi kimojawapo kati ya hivyo kuna cha 5000 kwa 4GB wiki au hivyo vya mwezi.
Mlimani city pia waliniambia bei ni elfu 5 ya data pekee
 
Speed ni fixed 10 ama 30 etc inategemea na watumiaji, kama ni 10mbps usitegemee watu wengi kutumia pamoja, maximum kama wa 5 hivi kwa mkupuo na kupata speed nzuri.
Inakua ni shared ila km zone yako haina watu wengi na hakuna buffer ndio inafika mpk 10mb km max
 
Back
Top Bottom