Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
chuxxe
Hizi router ni electronic devices, na huwa hazikosi kuwa na changamoto ya hapa na pale.
Mimi mwenyewe last month line yangu ilikufa kabisa from nowhere. Kumcheki aloniletea router akaja na ingine, ikawa vilevile line haisomi.
Ikabidi ile line nikai-swap na ikaendelea kupiga kazi kama kawaida.
Ninachokushauri, wewe komaa na aliyekuletea router, achana na kwenda airtel shops, utakutana na staffs ambao hawana experience na hizi router.
Pia jaribu kuangalia router yako kama imewezeshwa network modes za kutosha, maana kuna router ya jamaa yangu ilikuwa na options 2 tu za network mode.