Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

chuxxe

Hizi router ni electronic devices, na huwa hazikosi kuwa na changamoto ya hapa na pale.

Mimi mwenyewe last month line yangu ilikufa kabisa from nowhere. Kumcheki aloniletea router akaja na ingine, ikawa vilevile line haisomi.

Ikabidi ile line nikai-swap na ikaendelea kupiga kazi kama kawaida.

Ninachokushauri, wewe komaa na aliyekuletea router, achana na kwenda airtel shops, utakutana na staffs ambao hawana experience na hizi router.

Pia jaribu kuangalia router yako kama imewezeshwa network modes za kutosha, maana kuna router ya jamaa yangu ilikuwa na options 2 tu za network mode.

Screenshot_2024-03-29-20-43-38-638_com.android.chrome-edit.jpg
 
Wenzangu,,natafuta ushauri ni jinsi Gani naweza kupata bandle la internate kwa simu yangu nayoitumia kuinguanisha na laptop kwa shughuli zangu kama kufanya masomo online.Sababu ukiweka bandle la elf 10 unaweza Kuta halimalizi hata siku 2 wakati nakumbuka enzi za jiwe ukiweka elfu 10ulikuwa unapata bandle la kutumia hada kwa siku 20 full matumizo.
Kwa sasaa nataka kufanya masomo ya course fupifupi online,,naomba ushauri wa kupata bandle la gharama ndogo kama ambavyo intrnate cafe unakuta wanakucharge book kwa saa na bado wanapata faida.Asante
 
Kuna line pitia reply hapo juu halotel

Screenshot_20240407-120832.jpg

Hivyo ni vya mwezi.
 
Kwa urahisi zaidi nenda haloshop.
Maana hawa ma agent wa mitaani wanatamaa line ya bure wao wanataka 5000 hadi 10000.

Sharti ni moja tu ukisajili basi lazime uunge kifurushi kimojawapo kati ya hivyo kuna cha 5000 kwa 4GB wiki au hivyo vya mwezi.
me wamenisajilia buree tu. Sema nilimpigia kutoka huko aliko na ilikuwa weekend jioni kafika usiku so nikaamua tu kumpoza 5000 kama nauli.
 
Back
Top Bottom