bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,100
- 2,491
Sh ngapi kianzio bro, sijajua kuhusu waoView attachment 2977430
Chukua Tigo. Laini zao zinakubali kwenye simu.
Ila kianzio ndio ukuta wa chuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sh ngapi kianzio bro, sijajua kuhusu waoView attachment 2977430
Chukua Tigo. Laini zao zinakubali kwenye simu.
Ila kianzio ndio ukuta wa chuma.
Habari wakuu,naombeni ushauri kati ya kifaa hiki chenye 20mbps kwa watumiaji 32,au cha voda ama eatel vyenye 30mbps kipi kitakuwa na ubora kwa kasi ya kustream au kupakua?Tigo wamelegeza kamba huko, kwahivyo vifurushi unapewa Router bure, wewe kazi yako ni kulipa tu!!View attachment 2961936
Mkuu naomba msaada wa kueleweshwa jambo hapa.Za 5G na Unlimited? Kama unaweza afford chukua. 5g nzuri.
Mkuu naomba msaada wa kueleweshwa jambo hapa.Za 5G na Unlimited? Kama unaweza afford chukua. 5g nzuri.
VodaHabari wakuu,naombeni ushauri kati ya kifaa hiki chenye 20mbps kwa watumiaji 32,au cha voda ama eatel vyenye 30mbps kipi kitakuwa na ubora kwa kasi ya kustream au kupakua?
Na vipi kama watakuwa online watu wote 32,je speed itakuwaje?
Kama wote mna stream kwa wakati mmoja uongo mkuu, ila kama mmoja anasoma Email, mwengine yupo WhatsApp, mwengine ana stream etc inaweza kutosha.Mkuu naomba msaada wa kueleweshwa jambo hapa.
Nina staff wangu 32,ninahitaji kifaa cha mtandao iwe voda ,tigo ama eatel.
Nimeona tigo wamerahisisha kidogo ila speed yao ni 20mbps,swali langu ni kwamba vipi kama watu 25au wote 32 tutakuwa connected speed itakuwaje?,tutaweza kustream videos kwenye platform mbali mbali bila kugoma goma?
Mm pia nIitafuta hii sio kwenye site yao or social media wala agents wa halotel anajua km unlimited service ipo kwao wao wanaongelea tu GB za kununua and una top up kutokana na unavyotumia
Kingine natafuta line ya data pekee sijajua naipataje
Connection kwenye hizi mambo will end in tears tuu...
Bora ukachukue router kuliko hizo konakona, ila wanauza parefuu sana, 650K...
Hata airtel wana speed nzuri sana...... Msichoelewa ni kwamba kutumia internet ya router ni tofauti sana na ukiwa unatumia internet ya line iliyoko kwenye simu...
Concept ya kukwepa kutumia Router yao ni kukwepa ndoa ya 650,000.
Maana wakibadilika wakianza kutoa huduma mbovu utajikuta unatamani kuhamia kwingine ambapo kuna huduma nzuri halafu ni affordable. Unakuja kujikuta ndani una kopo la 600,000 na hakuna mnunuaji.
Sio unlimited ni vifurushi vya Mb kawaida, unaweza tumia mb zote siku moja zikaishaAnayetumia HALOTEL M2M atupe uzoefu hapa... Je ni kweli kwamba ina UNLIMITED data package option (official)?
-Kaveli-
Sio unlimited ni vifurushi vya Mb kawaida, unaweza tumia mb zote siku moja zikaisha
sio wanazingua sema wanazingua sananatamani nipate line ya VODA ya chuo. Maana hawa TIGO wanazingua
Toka Halotel waje na M2M nimesajili Line mbili.. Moja hiyo haipigi wala kupokea ya data only... Hii haina maajabu sana hata uungaji wake ni mgumu mpaka uwe na line ya halotel nyengine maana haina Halopesa na bando zake zinaanzia 15k kwa mwezi au 5k kwa wiki, 15k gb 18 na hiyo ya 5k gb 4..Anayetumia HALOTEL M2M atupe uzoefu hapa... Je ni kweli kwamba ina UNLIMITED data package option (official)?
-Kaveli-
Vigezo vya kujisajili?Toka Halotel waje na M2M nimesajili Line mbili.. Moja hiyo haipigi wala kupokea ya data only... Hii haina maajabu sana hata uungaji wake ni mgumu mpaka uwe na line ya halotel nyengine maana haina Halopesa na bando zake zinaanzia 15k kwa mwezi au 5k kwa wiki, 15k gb 18 na hiyo ya 5k gb 4..
Pia nilisaijili nyengine baadae ya special ila inapiga na kupokea sms yaani ni kama line ya kawaida pia ndani yake kuna menu ya bando ya ile la M2M isiyopiga wala kupokea... pia ina vifurushi vyengine vikubwa zaidi vyenye dakika na sms... Hii alienisajilia aliniambia nikijiunga bando la elfu 50 ndo naweza kupata hiyo unlimited (actually sio unlimited bali ni gb 100,, zikiisha speed inapungua) pia unapata sms na dakika... naweka na poster hapa kwa maelezo zaidi.
Nida yako tu.. Na either umfate wakala alipo au akufate.. hapo kwenye kukufata ndo unaweza kuchangia nauli.. ukishasajiliwa line ujiunge kifurush chochote hapo hapo... Ila kwa sasa line za kupiga na kupokea hawasajili tena... zipo za data onlyVigezo vya kujisajili?