Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna taarifa nimeiona inadai ni Mkonga uliopo baharini ndio umeleta shida.

Ila kama Tigo iko fresh hapo ndio napata maswali.
Haipo fresh, haifanyi kitu chochote heavy, pale juu tu nilikua sijai test. Unabrowse tu hapa na pale website nyepesi youtube na mambo mengine yanayotaka data sana havifunguki.
 
Hii mbona bado ni expensive,? Wakati unapata GB 5 kwa 5000
GB 9 kwa 10,000
GB 18 kwa 15,000
GB 38 kwa 30,000
GB 66 kwa 50,000
GB 110 kwa 75,000
GB 210 kwa 100,000
Na ni vya mwezi na kuendelea adi mwaka na unaungwa bure tu kwa huo mtandao tena laini unaimliki ukitaka kujiunga mwenyewe unajiunga tuu...!

Ongeeni vizuri na watu muache kupigwa!

Anaetaka anicheki bure!
BOSS VIP HII TUNAPATAJE?
 
karibu kuungwa vifurushi vya airtel harama ni 10000 kupata menu hii
IMG-20240516-WA0001.jpg
 
Mkuu Kingsmann , kuhusu Airtel router ya 5G (UNLIMITED data package)... SIM card (line) yake inakubali kutumika kwenye smartphone pia?

Lengo: Router ikae home tu. Napoenda mishe mishe nachomoa SIM card naweka kwenye smartphone ili niendelee kupata internet kwenye simu. Naporudi home naweka line kwenye router.

Otherwise, ile AIRTEL pocket router 4G ingekuwa na UNLIMITED DATA PACKAGE ingenifaa sana coz inaruhusu kutembea nayo hata mfukoni, popote napoenda.

Ushauri wako plz.

-Kaveli-
chukua D-LINKK router halotel unlimited 50k kwa mwezi ni pocket na kwenye simu inasoma
 
chukua D-LINKK router halotel unlimited 50k kwa mwezi ni pocket na kwenye simu inasoma

1. D-Link router naipataje? au inauzwa na hao hao HALOTEL?

2. Bei ya hiyo router TSH ngapi? ni universal inasoma line ya mtandao wowote? ni 4G ama 5G?

3. Hiyo UNLIMITED data package ya HALOTEL (TSH 50k per month), speed yake ipoje (Mbps)?

4. Hiyo Line ya HALOTEL unayosema ndiyo ile inaitwa M2M? ama ni tofauti?

-Kaveli-
 
Hii mbona bado ni expensive,? Wakati unapata GB 5 kwa 5000
GB 9 kwa 10,000
GB 18 kwa 15,000
GB 38 kwa 30,000
GB 66 kwa 50,000
GB 110 kwa 75,000
GB 210 kwa 100,000
Na ni vya mwezi na kuendelea adi mwaka na unaungwa bure tu kwa huo mtandao tena laini unaimliki ukitaka kujiunga mwenyewe unajiunga tuu...!

Ongeeni vizuri na watu muache kupigwa!

Anaetaka anicheki bure!
Bro nimekuja uniunge hiyoo
 
Back
Top Bottom