Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Bora wewe jioni at least utakuwa una timing ya muda katika kufanya mambo yako.Hii shida ya speed kushuka ikifika jioni kwa hizi router za airtel naona linataka kuwa tatizo chronic..
Bongo nyoso sana..
Mimi naenda wiki sasa, speed nayoipata ikizidi sana ni 1.89Mbps. Na hiyo ni package ya 30Mbps
Then usipolipia wadwanzi hawaishi kupiga simu kukumbusha swala la malipo.
Hapa natafuta alternative walau nipate hata Router ya Tigo nione wao wako vipi, Airtel nataka niwakaushie kwa kipindi kirefu kwanza.