Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu


Mida hii ndiyo wanaamka sasa hawa Airtel.

Screenshot_2024-07-16-00-16-03-298_com.android.chrome-edit.jpg
 
Wana 5G? Kama ni 4G tu sidhani kama wana uwezo wa kutoa unlimited kwa hio speed, na router ya 4G ghali sana kwa hio bei.
Router yao ni 4G ila wana unlimited.

Nimemuuliza supplier kaniambia speed ni 15Mbps kwa 50K na wana miezi 8 sasa tangu wa launch hiyo service.

Kaniambia ananiletea kwa bei ya 200K pamoja na kifurushi namsubiria, nitaweka mrejesho hapa
 
Dawa ni kuwala bati wabaki na makasha yao tuone watayafanyia nini.

Nimewatumia email ndefu yenye maelezo yote tena kwa kuanza na mahali napoishi lakini imekuja reply fupi eti "tunaomba utueleze tatizo lako kwa msaada zaidi"

"Tunaomba utueleze wilaya, kata unayoishi kwa msaada zaidi"

Hii inaonesha kwamba hata nilichokiandika hawakukikosma.

Kitu ambacho kimenifanya niwapuuze kwenye page yao ya Instagram. Kila unapowasiliana nao kuwajulisha tatizo lako wanakuomba maelezo yale yale ambayo kila siku unayatoa.

Nawapa feedback kuwa changamoto yangu bado haijawa solved, wananiambia tunaomba namba yako ya Router tutajie na mahali unapoishi.

Sheenzi kabisa hawa
Bado customer service wana shida sana, sababu hakuna competition.. halotel wakiamka na hizo zao za 50k watapoga hela sana..

Nikipata info vzuri nahamia huko.

Ttcl Internet yao iko poa sana haina magumashi kabisa ila kupata installation ndio mtihani
 
Bora wewe jioni at least utakuwa una timing ya muda katika kufanya mambo yako.

Mimi naenda wiki sasa, speed nayoipata ikizidi sana ni 1.89Mbps. Na hiyo ni package ya 30Mbps

Then usipolipia wadwanzi hawaishi kupiga simu kukumbusha swala la malipo.

Hapa natafuta alternative walau nipate hata Router ya Tigo nione wao wako vipi, Airtel nataka niwakaushie kwa kipindi kirefu kwanza.
Achana na tigo mkuu tumia ya voda tigo Yao ni expensive sana andaa laki 6 ili kupata ila voda wapo vizuri sana
 
Back
Top Bottom