Bora wewe jioni at least utakuwa una timing ya muda katika kufanya mambo yako.Hii shida ya speed kushuka ikifika jioni kwa hizi router za airtel naona linataka kuwa tatizo chronic..
Bongo nyoso sana..
Hapa muite wakala alokupa router akupe nyingine tu..
Hapo dawa badilisha router tuu, au jaribu kucheza na setting za ndani..Bora wewe jioni at least utakuwa una timing ya muda katika kufanya mambo yako.
Mimi naenda wiki sasa, speed nayoipata ikizidi sana ni 1.89Mbps. Na hiyo ni package ya 30Mbps
Then usipolipia wadwanzi hawaishi kupiga simu kukumbusha swala la malipo.
Hapa natafuta alternative walau nipate hata Router ya Tigo nione wao wako vipi, Airtel nataka niwakaushie kwa kipindi kirefu kwanza.
Hapana Mkuu kuna kitu nimegundua, nikuwa hawa Airtel wame downgrade speedHapa muite wakala alokupa router akupe nyingine tu..
Kwako tatizo linaweza kuwa siyo network wala eneo ulilopo bali router yenyewe ama setting zake..
Bongo uhuni mwingi, kifurushi changu kimeisha muda, japo nilikua napata changamoto ya spidi mida ya jioni mpaka usiku wa saa 4 au 5. Naona inaenda kua issue serious kama yakoHapana Mkuu kuna kitu nimegundua, nikuwa hawa Airtel wame downgrade speed
Angalia hii video hapa chini.
Hii video nilikuwa napima speed ya internet ya line yangu ya Airtel ya kawaida ambayo ni kifurushi cha jero, halafu hapo hapo nika switch WiFi ya Airtel Router.
Airtel niliyounga Mb 200 za jero ilikuwa na speed 22Mbps lakini Router 5G ambayo kifurushi chake ni cha 110,000 speed yake ni 0.13Mbps.
View attachment 3043155
Nimeanza kuona Tigo wana router za 100K mitaani sijui limekaaje hili.Kinachofanya niendelee kubaki kwa hawa airtel ni kwa vile router zao ni movable, natembea nayo mahali popote.
Na pia wana gharama affordable kushinda kampuni zingine.
Cha kuwashauri ni wasije wakajisahau tu, maana siku Voda akishusha gharama tu, sidhani kama kuna mtu ataendelea kuwatumia, hizi routers zao zitabakia makopo.
Tatizo la speed kuwa ndogo halijasababishwa na settings za Router, kwanza nisha perfom hard reset lakini hakuna changes.Hapo dawa badilisha router tuu, au jaribu kucheza na setting za ndani..
Jioni au tuseme usiku wa kuanzia saa moja mara nyingi napataga speed hii hapa:
View attachment 3043146
Ila mida mingine napata speed inayoendana n kifurushi changu cha 70K ambazo ni 10Mbps download speed:
View attachment 3043147
Nimeilewa sana mkuu...Hapana Mkuu kuna kitu nimegundua, nikuwa hawa Airtel wame downgrade speed
Angalia hii video hapa chini.
Hii video nilikuwa napima speed ya internet ya line yangu ya Airtel ya kawaida ambayo ni kifurushi cha jero, halafu hapo hapo nika switch WiFi ya Airtel Router.
Airtel niliyounga Mb 200 za jero ilikuwa na speed 22Mbps lakini Router 5G ambayo kifurushi chake ni cha 110,000 speed yake ni 0.13Mbps.
View attachment 3043155
Chukua wala usiogope.Naona malalamiko ya kushuka speed airtel 5g ni mengi
Kifurushi changu kimeisha muda hapa
Vipi wadau nichukue kingine au hiyo hela niungie tu bando la kawaida isije potelea mikononi mwa hao wahuni
Dawa ni kuwala bati wabaki na makasha yao tuone watayafanyia nini.Bongo uhuni mwingi, kifurushi changu kimeisha muda, japo nilikua napata changamoto ya spidi mida ya jioni mpaka usiku wa saa 4 au 5. Naona inaenda kua issue serious kama yako
Najua Mkuu, nimefanya hivyo lakini bado matokeo ni sifuri labda iwe tu zari kwa leo huwenda itakubali.Nimeilewa sana mkuu...
Sasa sikia, fanya ku-reset hiyo router.
Namna ya kuireset, kwa nyuma kuna kitundu kidogo ambacho kinaingia zile sim tray pin📍, bonyeza hapo gently kwa sikunde kadhaa router itajireset.
Fanya ivo uone matokeo yatakuwa yakoje.
Mkuu una details zaidi za Halotel?Tatizo la speed kuwa ndogo halijasababishwa na settings za Router, kwanza nisha perfom hard reset lakini hakuna changes.
Hapa nafikiria kesho niangalie ustaarabu mwingine wa kuchukua Router ya Halotel.
Ila kabla sijafikia maamuzi hayo nataka kwanza kupata dondoo kidogo kuhusu watumiaji wa Router ya halotel kama kuna changamoto zozote...
Kwasababu nimesikia wanatoa 20Mbps kwa 50K tu, sasa isije ikawa ndio yale mambo ya kupunguziana speed baada ya kufikisha GB kadhaa.
Halotel sijapata bado details za kutosha kuniridhisha nilipie Router yao ila bado nipo kwenye mchakato wa kuzipata.Mkuu una details zaidi za Halotel?
Kesho naenda Halotel Shop, nataka nikawahoji kiundani kuhusu kifurushi chao cha 20Mbps kwa 50KHawa Airtel ndo basi tena..
View attachment 3043427
Hapo nipo peke yanguSikuhizi naona labda watumiaji washakuwa wengi maana zimekuwa na muitikio mkubwa wa wadau
Kwahyo sometimes fresh simetimes majanga trick mara nyingi inabidi niweke flighf mode nikitoa inakaa sawa
Kama mida hii na stream paramount+ haijasumbua
Utakuwa umetusaidia sana mkuu🤝Kesho naenda Halotel Shop, nataka nikawahoji kiundani kuhusu kifurushi chao cha 20Mbps kwa 50K
Nikijiridhisha naichukua, nitaweka mrejesho hapa.