Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wana 5G? Kama ni 4G tu sidhani kama wana uwezo wa kutoa unlimited kwa hio speed, na router ya 4G ghali sana kwa hio bei.
Router yao ni 4G ila wana unlimited.

Nimemuuliza supplier kaniambia speed ni 15Mbps kwa 50K na wana miezi 8 sasa tangu wa launch hiyo service.

Kaniambia ananiletea kwa bei ya 200K pamoja na kifurushi namsubiria, nitaweka mrejesho hapa
 
Bado customer service wana shida sana, sababu hakuna competition.. halotel wakiamka na hizo zao za 50k watapoga hela sana..

Nikipata info vzuri nahamia huko.

Ttcl Internet yao iko poa sana haina magumashi kabisa ila kupata installation ndio mtihani
 
Achana na tigo mkuu tumia ya voda tigo Yao ni expensive sana andaa laki 6 ili kupata ila voda wapo vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…