Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Picha ya kwanza ni fiber mkuu, kwenye nyumba fiber zinaingia hivyo, ila vyema awa consult 1mbps upload na 7mbps download ni ndogo sana kwa Fiber.
hiyo speed n ndogo sana kwa fiber boss nimemshauri akifeli installation fee za halotel bora achukuwe unlimited yao tu kwa m2m sema hakuwa mjuvi wa haya mambo anajuta kwanini hakuelewa mapema kuwa nina mwanga nayo
Wamempga parefu sana
 
NImeanza kutumia mwezi huu, kwa hiyo wanapunguza speed mwezi unaofuata? Au unamaanisha nini
nilcho kua naomba yan ikfka mwez mwengne utakapo jiunga hiko kifurush cha unlimited anza kuhesab ikfka 75GB observe speed yake imeshuka au haijashuka na kama imeshuka imeshuka had mbps ngap maana mm kwangu ulvo fka 75GB wakapunguza speed had 500kb/s ndo skujiunga tena had leo sasa wanaweza wakawa wamerekebisha skuiz hawapunguz speed na mm sijui

next month feedback yako itakua muhim sana kama speed ni ile ile au ikfka 75GB wana punguza ili na mm nifanye uamiz wa kujiunga
 
NImeanza kutumia mwezi huu, kwa hiyo wanapunguza speed mwezi unaofuata? Au unamaanisha nini
ilkua ghafla tu speed ilvo fka 75GB nika ona wamenipunguzia speed sa sikuelewa why ni kama vodacom kile kifurush cha kasi cha 50k walisema unlimited ila zile 24GB zilvo isha speed wakanipa 1Mbps had mwez ukaisha nikaachana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…