Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Vp mkuu spidi bado iko vizuri?Halotel nimeshatumia Gb 120 kwa siku 3 tu na bado ipo kasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mkuu spidi bado iko vizuri?Halotel nimeshatumia Gb 120 kwa siku 3 tu na bado ipo kasi
Mkuu tupe feedback hali ipoje?Ngoja nikilipie nione nitadumu nacho kwa mda gani..
Mpaka sasa ushatumia gb ngapi mkuu? Feedback yako ni muhimuHalotel muda huu nimeshatumia Gb 245
Zaidi ya Gb 600 na speed ni fire si chini ya 50MbpsMpaka sasa ushatumia gb ngapi mkuu? Feedback yako ni muhimu
Duuh iko vizuri!! Ntaitafuta na mimi. Eneo uliopo inaonekana halotel wako vizuriZaidi ya Gb 600 na speed ni fire si chini ya 50Mbps
Kifurushi cha sh ngap kwa hyo spidi?Kasi sio mbaya Cc ephen_ View attachment 3074084
Laki na 15 mkuu ni mbps 20 nimemuungia na jirani hapa Cc ephen_Kifurushi cha sh ngap kwa hyo spidi?
Sababu sio official supported, hizi router zilitakiwa zitumike maeneo yenye 5G tu na 4G kama Emergency, ndio maana unaona maeneo yasiyo na 4G haziuzwi.Mbona Airtel shop za huku mikoani hamna router zao? Yaani mpaka niagize Dar au Dom 🚮🚮
Naunga mkono hoja Cc ephen_Sababu sio official supported, hizi router zilitakiwa zitumike maeneo yenye 5G tu na 4G kama Emergency, ndio maana unaona maeneo yasiyo na 4G haziuzwi.
Kama eneo lako Halotel wapo vizuri consider router yao.
Coverage yao ipoje ?? Natamani wafanye kwa ukubwa Kama kawaida yao ttcl waamke kutoka usingizini
Naskia wamefika Kila Kona ya daslam hawa vodaCoverage yao ipoje ?? Natamani wafanye kwa ukubwa Kama kawaida yao ttcl waamke kutoka usingizini
Waendelee kuumizana, tunafaidika sisi.
Mbona inakataa mkuuWale wa @ttcl piga *148*22#
Sio unatoa ushindi mzee. Hapo umepewa elimu ndugu.Kwa kuwa sitaki kubishana leo ngoja nikupe ushindi japo najua nilichokiandika nina uhakika nacho asilimia 100%... Sawa mkuu🤝🙌