Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kasi sio mbaya Cc ephen_
Screenshot_20240819-141848.jpg
 
Mbona Airtel shop za huku mikoani hamna router zao? Yaani mpaka niagize Dar au Dom 🚮🚮
Sababu sio official supported, hizi router zilitakiwa zitumike maeneo yenye 5G tu na 4G kama Emergency, ndio maana unaona maeneo yasiyo na 4G haziuzwi.

Kama eneo lako Halotel wapo vizuri consider router yao.
 
Kwa kuwa sitaki kubishana leo ngoja nikupe ushindi japo najua nilichokiandika nina uhakika nacho asilimia 100%... Sawa mkuu🤝🙌
Sio unatoa ushindi mzee. Hapo umepewa elimu ndugu.
20/10Mbps ya TTCL ilifanya nikagoogle vizuri na kujua kwa nini wao wameweka hivyo.
By default internationally speed ya internet inayokuwa advertised na IPS’s always ni download speed, speed ya upload inakuwa fraction of download speed.

So ukiona mtandao wowote wanakwambia wanatoa 50Mbps tegemea kupata download speed around hiyo 50Mbps ila upload hata ikiwa 2Mbps ni sawa tu. You can’t complain kwenye upload speed unless huyo ISP amespecify kama TTCL anavyofanya.
IMG_4761.jpeg
 
Waraka wa WaterNet kwa wana JF

Mpaka sasa nishatumia mitandao mitatu.
Voda, Tigo na TTCL.
1. Voda nimetumia 20Mbps kwa 115k mwaka 1, nusu mwaka wa Voda nimekuwa nikipata hudumu mbovu below 5Mbps kuna muda hata WhatsApp call haifanyi kazi.

2. Nikahamia Tigo. Nimeitumia kwa miezi 6 kifurushi cha 10Mbps kwa 70k. At the beginning ndio nilikuwa na changamoto ya 10GB per day nikawatafuta tafuta sana wanaclaim ni unlimited but nikiwaelezea scenario ninayokutana nayo wanashangaa sikutaka usumbufu wa kufuatana ofisini kwa sababu matumizi yangu hayakuwa makuubwa saana mengine nakayapunguza ila kuna muda nikitaka ku-updates games kwenye PlayStation hapo ndio naboeka but kuna siku tu nikapokea simu toka 100 kuniuliza changamoto ninayokutana nayo nikawapangilia wakaniambia nisbiri kidogo baada ya 30mins nikaambiwa tayari limeshakuwa resolved. Nakuja kutest tena nikakuta LIMIT ya 30GB per day. Nikaona inavumiliika kwangu maana SPEED HAIKUWA NA LIMIT, Eneo nililopo halikuwa na 5G so speed kubwa nimewahi Xp ilikuwa 220Mbps
IMG_4765.png


TTCL wakaja kunichomoa kutoka Tigo ila sikutaka kuwaacha moja kwa moja nikaipeleka home, mwisho wa siku wanaitumia wao nalipia mimi huku 70k Tigo huku 55k TTCL nikawapiga chini home baada ya mdau wangu kuiomba router ya Tigo now anaendelea kulisongesha

3. TTCL natumia fiber 20/10Mbps kwa 55k.
TTCL niliomba mwezi 8 2022 wamekuja kunifungia mwezi wa 6 2024. Maisha ya unlimited na TTCL ni saaf kabisa binafsi sijaona throttling yoyote maana test ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kupiga PS chini na kuanza kudownload games upya na nilifanya hivi mara mbili ili nione nikifika TB mzigo unakata so ni 800GB+ mara mbili, internet haikukata na speed iko mule mule kwenye 17-19Mbps.
Plus kuna advantage nyingine kama wewe ni mtu wa IT maybe unaweza ikakufaa. Hawa jamaa router yako ikiconnect kwenye mtandao inakuwa na public Ip address but sio static but somehow ukiitafutia power bank unaweza enjoy hiyo sifa. So now niko natafanya uchunguzi ni lease time ya IP address uliyopewa. Leo ni siku ya 4 Router iko on with the same IP address.
Niliwatafuta kuwauliza price ya static public IP address kwa wateja faiba mlangoni kwako wakaniambia kwa wateja wanaolipia vifurushi kuanzia 200k wanapewa static IP.
Drawback ni kwamba iko fixed ninapokaa compare na wengine

Gaming Xp
Huwa nachezaga sana Rocket League game ambalo linahitaji bandwidth ndogo sana around 1Mbps na liko sensitive sana na Latency 1-100ms utainjoy game 100-200ms latency iwe stable isiwe inacheza sana utainjoy game 200-250ms hapo utaanza kuona changamoto 250ms+ utakachokiona ni kuganda ganda tu na sio game.
Voda nilikuwa naweza kucheza game kwa servers za South Africa latency ilikuwa around 75-90ms. Nje ya south africa ni migando tu. Na ni lazima nidisconnect user wote niache PS tu ndio latency itulie kwenye hiyo 75-90ms
Nilijaribu Airtel siku moja ila latency yake haiko stable KABISA 50-800ms+ within a minute unaweza xp migando hata mitano.
Tigo wao wako vizuri naweza nikawa na user hata wa5 wako online haijalishi ni youtube au ni insta latency yao iko stable kwa server za South na baadhi ya UK
TTCL latency yao ndogo kwa servers nyingi za UK 100-200ms ila kwa servers za SA kidogo ni changamoto kuna siku inakuwa vizuri mara nyingi inakuwa kwenye 300ms+

TTCL to rain Network Johannesburg SouthAfrica
IMG_4766.jpeg


TTCL to YouFibre London UK
IMG_4767.jpeg


So long story short.
Voda usiniombe ushauri nitawakandia nime Xp 4G yao ni hovyo, 5G naona tu wadau wanapost 400Mbps natamani niione kwa macho yangu kabisa.
Tigo wako vizuri sana ila Router bei ya kiwanja.
TTCL kwa matumizi ya nyumbani utaenjoy saana. Usipokubali kuwa msumbufu kuwafuata fuata ofisini kwao watakuletea huduma ukiwa umeshahama kama wewe ni mpangaji.
 
Back
Top Bottom