Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Hivi laini za Halotel za M2M ni kweli special ktk internet? Yaani Zina spidi Kubwa kama tunavyoaminishwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andaa 70,000 kuendelea.Ambayo
Ambayo niandae walau ngap kwa mwezi?
Inategemea na location mimi napata speed kawaida si chini ya 50Mbps na mpk 80Mbps wakati wa usiku.Hivi laini za Halotel za M2M ni kweli special ktk internet? Yaani Zina spidi Kubwa kama tunavyoaminishwa?
Tunaomba model no ya router waliyokupa, au hata picha yake.Waraka wa WaterNet kwa wana JF
Mpaka sasa nishatumia mitandao mitatu.
Voda, Tigo na TTCL.
1. Voda nimetumia 20Mbps kwa 115k mwaka 1, nusu mwaka wa Voda nimekuwa nikipata hudumu mbovu below 5Mbps kuna muda hata WhatsApp call haifanyi kazi.
2. Nikahamia Tigo. Nimeitumia kwa miezi 6 kifurushi cha 10Mbps kwa 70k. At the beginning ndio nilikuwa na changamoto ya 10GB per day nikawatafuta tafuta sana wanaclaim ni unlimited but nikiwaelezea scenario ninayokutana nayo wanashangaa sikutaka usumbufu wa kufuatana ofisini kwa sababu matumizi yangu hayakuwa makuubwa saana mengine nakayapunguza ila kuna muda nikitaka ku-updates games kwenye PlayStation hapo ndio naboeka but kuna siku tu nikapokea simu toka 100 kuniuliza changamoto ninayokutana nayo nikawapangilia wakaniambia nisbiri kidogo baada ya 30mins nikaambiwa tayari limeshakuwa resolved. Nakuja kutest tena nikakuta LIMIT ya 30GB per day. Nikaona inavumiliika kwangu maana SPEED HAIKUWA NA LIMIT, Eneo nililopo halikuwa na 5G so speed kubwa nimewahi Xp ilikuwa 220Mbps
View attachment 3082844
TTCL wakaja kunichomoa kutoka Tigo ila sikutaka kuwaacha moja kwa moja nikaipeleka home, mwisho wa siku wanaitumia wao nalipia mimi huku 70k Tigo huku 55k TTCL nikawapiga chini home baada ya mdau wangu kuiomba router ya Tigo now anaendelea kulisongesha
3. TTCL natumia fiber 20/10Mbps kwa 55k.
TTCL niliomba mwezi 8 2022 wamekuja kunifungia mwezi wa 6 2024. Maisha ya unlimited na TTCL ni saaf kabisa binafsi sijaona throttling yoyote maana test ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kupiga PS chini na kuanza kudownload games upya na nilifanya hivi mara mbili ili nione nikifika TB mzigo unakata so ni 800GB+ mara mbili, internet haikukata na speed iko mule mule kwenye 17-19Mbps.
Plus kuna advantage nyingine kama wewe ni mtu wa IT maybe unaweza ikakufaa. Hawa jamaa router yako ikiconnect kwenye mtandao inakuwa na public Ip address but sio static but somehow ukiitafutia power bank unaweza enjoy hiyo sifa. So now niko natafanya uchunguzi ni lease time ya IP address uliyopewa. Leo ni siku ya 4 Router iko on with the same IP address.
Niliwatafuta kuwauliza price ya static public IP address kwa wateja faiba mlangoni kwako wakaniambia kwa wateja wanaolipia vifurushi kuanzia 200k wanapewa static IP.
Drawback ni kwamba iko fixed ninapokaa compare na wengine
Gaming Xp
Huwa nachezaga sana Rocket League game ambalo linahitaji bandwidth ndogo sana around 1Mbps na liko sensitive sana na Latency 1-100ms utainjoy game 100-200ms latency iwe stable isiwe inacheza sana utainjoy game 200-250ms hapo utaanza kuona changamoto 250ms+ utakachokiona ni kuganda ganda tu na sio game.
Voda nilikuwa naweza kucheza game kwa servers za South Africa latency ilikuwa around 75-90ms. Nje ya south africa ni migando tu. Na ni lazima nidisconnect user wote niache PS tu ndio latency itulie kwenye hiyo 75-90ms
Nilijaribu Airtel siku moja ila latency yake haiko stable KABISA 50-800ms+ within a minute unaweza xp migando hata mitano.
Tigo wao wako vizuri naweza nikawa na user hata wa5 wako online haijalishi ni youtube au ni insta latency yao iko stable kwa server za South na baadhi ya UK
TTCL latency yao ndogo kwa servers nyingi za UK 100-200ms ila kwa servers za SA kidogo ni changamoto kuna siku inakuwa vizuri mara nyingi inakuwa kwenye 300ms+
TTCL to rain Network Johannesburg SouthAfrica
View attachment 3082854
TTCL to YouFibre London UK
View attachment 3082855
So long story short.
Voda usiniombe ushauri nitawakandia nime Xp 4G yao ni hovyo, 5G naona tu wadau wanapost 400Mbps natamani niione kwa macho yangu kabisa.
Tigo wako vizuri sana ila Router bei ya kiwanja.
TTCL kwa matumizi ya nyumbani utaenjoy saana. Usipokubali kuwa msumbufu kuwafuata fuata ofisini kwao watakuletea huduma ukiwa umeshahama kama wewe ni mpangaji.
Sasa faida ya hizo backbone za materabyte ni nini? Jisogeze Fiber tu mkuu kama matumizi yako yapo eneo moja.Kutokana na speed kupungua leo imenibidi niibuke Morroco HQ kufatilia swala langu na hivi ndio walivyonijibu.
Ni kwamba serikali imekuja na new policy inayowataka makampuni ya simu kuweka limit ya speed kwa wateja wake pindi wanapofikisha idadi fulani ya matumizi.
Kwakua mimi kifurushi changu ni cha 110,000 basi kwa mujibu wa masharti ya serikali ni kwamba matumizi yangu yatapofika 1TB basi speed ita drop kutoka 30Mbps hadi 2-3Mbps
Na kama ningekuwa natumia kifurushi cha 150,000 basi limitation yake ingekuwa extended hadi kwenye 1.5TB baada ya hapo speed ingepungua ila kutokana na ukubwa wa kifurushi chake basi bata speed ingepungua isingekuwa sawa na kifurushi cha 110K
Nimeambiwa ingekuwa 5-7Mbps. Na hivyo hivyo kama utanunua kifurushi kikubwa zaidi utaongezewa idadi ya matumizi na pia speed utayopunguziwa itakuwa ni ya juu kidogo.
Kaniambia kuwa wale wenye vifurushi vya 70K wa 10Mbps ukomo wao naskia ni 500GB na speed yao ikipungua ni chini ya 1Mbps
Sio kama sitaki fiber tatizo lipo kwenye utongozaji nachoshwa na majibu yaoSasa faida ya hizo backbone za materabyte ni nini? Jisogeze Fiber tu mkuu kama matumizi yako yapo eneo moja.
Halotel pia wamezingua?Sio kama sitaki fiber tatizo lipo kwenye utongozaji nachoshwa na majibu yao
Halotel ya fiber? Kama fiber ya Halotel bado sijafuatilia.Halotel pia wamezingua?
Fiber mkuu, wote voda, Tigo na Halotel wana fiber sasa hivi na naona wamegawana maeneo mengi.Halotel ya fiber? Kama fiber ya Halotel bado sijafuatilia.
Ila kama ni ile Router yao basi
Halotel ndio kabisa at least Airtel speed inapungua baada ya 1TB.
Halotel speed yao ni complete mbovu na kwa jinsi nilivyosikia malalamiko ya watu, wengi wanadai baada ya zile 24GB za mwanzo kukata basi hapo ndio speed inapokuwa mbovu.
Lakini pamoja na hayo kifurushi chao hakieleweki kina speed ya kiasi gani kwa hiyo hata kutoa malalamiko inakuwa ngumu.
Kwa maelezo yao ili ufungiwe free ni mpaka ulipie kuanzia miezi 6Fiber mkuu, wote voda, Tigo na Halotel wana fiber sasa hivi na naona wamegawana maeneo mengi.
Sema nako pia ulizia usije kuta kuna limit pia.
Sio kwamba miezi 6 unapata mwezi bure? Na kufungiwa ni bure tuKwa maelezo yao ili ufungiwe free ni mpaka ulipie kuanzia miezi 6View attachment 3085067
Pengine iko hivyo mi tu ndio nimetafsiri vibaya.Sio kwamba miezi 6 unapata mwezi bure? Na kufungiwa ni bure tu
Kuna jamaa ananiunga Halotel 5000 unapata 5GB kwa siku 14 sio kifurushi kibaya kama una budgetHuu uzi umebaki kuwa wa matajiri wa Router na fibre kubabake..
sasa sisi kajamba nani tukomae na bando la elfu 10 kwa mwezi
Airtel
View attachment 3085076
Speed yake ikoje mkuu?Kuna jamaa ananiunga Halotel 5000 unapata 5GB kwa siku 14 sio kifurushi kibaya kama una budget
Kwa mwezi inakua 10,000, speed ni speed ya kawaida ya halotel eneo lakoSpeed yake ikoje mkuu?
na ukitaka ya mwezi vipi inapatikana?
Vizuri sana, sasa mpange basi afanye 5Gb aiunge kwa siku 30.Kwa mwezi inakua 10,000, speed ni speed ya kawaida ya halotel eneo lako
Ukibaki mwenyewe si itabidi uongeze gharama ya kulipia kifurushi husikaJana nmekutana na huu upumbavu ikabidi nilipe madeni yote 90k then nkawaomba huduma kwa wateja nkawatoa ote ambao walijiunga kupitia jina langu.
tigo hawana hii huduma?Kwa sasa mitandao ninayoijua mimi yenye pocket Wi-Fi zenye vifurushi maalum ni miwili tu, Airtel na Halotel.
Pocket Wi-Fi za Airtel na Halotel zinauzwa 50,000, zinauzwa pamoja na laini. Ukishanunua unapewa ofa ya 20GB utumie bure mwezi mzima. Mwezi ukishaisha utachagua ujiunge 10GB kwa mwezi kwa 10,000. Au 15GB kwa mwezi kwa 15,000. Au 20GB kwa mwezi kwa 20,000.