Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,031
Hawana.tigo hawana hii huduma?
Kipindi fulani nilikuwa naona tangazo lao wanauza pocket Wi-Fi kwa 49,000, ukishanunua wanakupa 40GB bure mwezi mzima. Zikishaisha ndiyo inakuwa imeisha hiyo. Hakuna cha kujiunga GB za mwezi wala nini, unabaki na lipocket Wi-Fi lako kama kopo.