Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna jamaa ananiunga Halotel 5000 unapata 5GB kwa siku 14 sio kifurushi kibaya kama una budget
Hapo unakua umepigwa 😂 kwa hiyo hiyo 5k unapata 7.8GB wiki 2 kuna lain za Halotel zinaitwa community
2k 3GB wiki
5k 7.8GB wiki 2
10k 15.2GB Mwezi
kwahyo ukitoa 5K jamaa anakutumia 5GB anabak na 2.8GB na hela yake inakua imerud sa kwa nn na ww usisajili hiyo line(Halotel community )uwe independent usi depend kwake hizo lain zipo mtaani tu
 
Menu ya hiyo line ya community plz?
 
Menu ya hiyo line ya community plz?Bl

Menu ya hiyo line ya community plz?
Tafuta lain kwanza (Halotel community)Menu ni ile ile shart ununue kifurush kupitia HaloPesa ukiwa una nunua menu *148*66# then namba 1 hapo sasa utaona 2k 985GB ila ukinunua inakuja 2.5GB then 505 zinakuja kama zawad ya kununua kwa Halo Pesa total inakua 3GB wiki 5k utaona 2.4GB ila ukinunua unapata 6.5GB then 1.3GB zinakuja kama bonus wik 2 we kua na lain kwanza
 
Attachments

  • IMG_6564.jpeg
    IMG_6564.jpeg
    587.2 KB · Views: 20
  • IMG_6566.jpeg
    IMG_6566.jpeg
    191.3 KB · Views: 16
Tafuta lain kwanza (Halotel community)Menu ni ile ile shart ununue kifurush kupitia HaloPesa ukiwa una nunua menu *148*66# then namba 1 hapo sasa utaona 2k 985GB ila ukinunua inakuja 2.5GB then 505 zinakuja kama zawad ya kununua kwa Halo Pesa total inakua 3GB wiki 5k utaona 2.4GB ila ukinunua unapata 6.5GB then 1.3GB zinakuja kama bonus wik 2 we kua na lain kwanza
Mkuu umetisha sana hii line nilikuwa nayo,pamoja na M2M ila nilideal sana na M2M,hii nilikuwa sijui jinsi ya kuunganisha hizo huduma,now rasmi ataruka nayo wife inipunguzie makali kidogo
 
Hapo unakua umepigwa 😂 kwa hiyo hiyo 5k unapata 7.8GB wiki 2 kuna lain za Halotel zinaitwa community
2k 3GB wiki
5k 7.8GB wiki 2
10k 15.2GB Mwezi
kwahyo ukitoa 5K jamaa anakutumia 5GB anabak na 2.8GB na hela yake inakua imerud sa kwa nn na ww usisajili hiyo line(Halotel community )uwe independent usi depend kwake hizo lain zipo mtaani tu
Hizi Line za community ninazipata vipi.
 
Sasa mkuu kuna scenario imenitokea hapa kwenye 10. Mimi nimetuma 5 na majibu nimetumiwa 5. Nimetaka kutuma ya sita wamesema salio halitoshi.

Hiki kitu kinawezekana kweli?
SMS ni herufi kama 160 hivi, uki zidisha hata kama umetuma sms kama moja ita count sms 2 kwa mpigo. Kuna simu nyengine refurbished sms ni kama maneno 120 tu.
 
Back
Top Bottom