Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nakiri kuwa yalikuwa ni maamuzi ya kimhemko kuwakimbia Airtel

Sikupaswa kulipiza ubaya kwa ubaya, sikupaswa kuwafanyia vile. Nilipaswa kuwapa nafasi ya pili

Ona sasa Halotel wanavyo nifanyia
View attachment 3061528

Ulimwengu huu kweli ni wa kumpa 3G mteja?
Mimi huu mchezo nilifanyiwa na tigo πŸ˜…πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Cc ephen_
 
Mkuu, vipi kuhusu hiyo Airtel hapo?

-Kaveli-

Inaonekana jamaa kaweka line ya Halotel kwenye Router ya Airtel..

IMG_20240806_024125.jpg
 
Nataka nijue kaiweka baada ya kui unlock au imesoma hivyo hivyo?

Kwasababu kama ndio hivyo basi kesho naitia laini kwenye Router ya Airtel nione kama kutakuwa na mabadiliko.
Hebu jaribu kuitia ivoivo...

Mimi aloniuzia aliniambia unaweza kuweka line ya Airtel kwenye simu na ikapiga kazi, ila iligoma kwenye simu yangu...
 
Kwenye line ya 5G inayokuja na Router kuwa inaweza kutumika kwenye simu hapo alikuongopea.

Hata mimi nilifanya hilo jaribio lakini hakukuwa na matokeo yeyote.

Na saizi hata meseji tu zimepigwa pin haziingii, mwanzoni nilikuwa napata meseji lakini saizi hata nitume meseji kwenye ile laini haifiki.

Halafu kitu kingine hawa dealers wanao sambaza hizi Router sio kama wanajua sana kuhusu ufanyaji kazi wa Router na line zake.

Wengi wanachojua ni kusajili tu na ndio maana hata diagnosis ya mambo machache yanayohusu Router unakuta yanawashinda.

Kuna wengine kwenye matangazo yao wanaandika kuwa ina piga mpaka mita 200

I
 
Hapa umeongea ukweli kabisa, hawa mawakala mambo mengi hawajui, sisi user inawezekana tunajua mengi kuwashinda..

BTW line yangu ya kwanza ilizinguaga, ilikufa kabisa, nikamuita wakala aloniuzia, akaja.

Njia alizokuwa anatumia niliona ananipotezea muda tuu maana mambo yote alikuwa anategemea kuelekezwa na aliyekuwa anamuita "Leader" wake. Fanya hivi, fanya vilee lkn wapii line iligoma, kimsingi chip ilikuwa imekufa kabisa

Wakaniambia nika-swap, nikawauliza niki-swap itaendelea kubaki vilevile? Kifurushi changu nitakikuta au itabidi nianze upya kwa kulipia kingine. Hakuna aliyekuwa na jibu.

Mwisho wa siku niliswap ile chip ila ilibaki vilevile na kifurushi hivyo nikaendelea nilipoishia..
 
Wale mambo mengi hawayajui na kama sio mtu wa kujiongeza utajikuta unafeli na kuichukia huduma yao maana hata kukupa ushirikiano wakati una face changamoto wanakuwa wazito.
 
Baadaye kukikucha nitafanya jaribio la kuweka line ya Halotel kwenye Router ya Airtel nione kama itasoma.

Na kama ikisoma ntacheki speed yake kama kutakuwa na utofauti ukilinganisha na Router ya Halotel.

Kwa jinsi nilivyoona screenshot ya mdau, zile network bars zipo chini sana lakini speed aliyo post ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom