Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nakiri kuwa yalikuwa ni maamuzi ya kimhemko kuwakimbia Airtel

Sikupaswa kulipiza ubaya kwa ubaya, sikupaswa kuwafanyia vile. Nilipaswa kuwapa nafasi ya pili

Ona sasa Halotel wanavyo nifanyia
1722783431138.png

Ulimwengu huu kweli ni wa kumpa 3G mteja?
 
Nakiri kuwa yalikuwa ni maamuzi ya kimhemko kuwakimbia Airtel

Sikupaswa kulipiza ubaya kwa ubaya, sikupaswa kuwafanyia vile. Nilipaswa kuwapa nafasi ya pili

Ona sasa Halotel wanavyo nifanyia
View attachment 3061528

Ulimwengu huu kweli ni wa kumpa 3G mteja?
Speed ipoje? Inategemea na eneo ila 3G ya Halotel inakimbiza sometime 10-20mbps
 
Kwa ninavofaham mm kwenye mkataba wa Tigo na router zao za 5G Kuna kipengele kinasema unapewa gb kiasi gani kwa siku ukimaliza in a day wana limit speed. Mfano kama cha 70,000 10mbps wanakuwa wanakupa gbs 10 kwa siku Ukiziisha wana limit speed to 1mbps mpaka saa Sita usiku wanakupa 10gbs nyengine. Inakuwa hivo mpaka kweny
Hapa ndio Voda uwa wanachukulia point tatu kwenye mitandao mingine... Vodacom nina mwaka na zaidi ninatumia Internet yao, Ila ukishalipia ile 120k Matumizi yako utajikadilia mwenyewe..
 
Mwenye uzoefu na Hizi Extender ni ipi naweza kuitumia ikaisaidia Router yangu ya Vodacom iweze kusoma umbari wa zaidi ya Mita 300 au zaidi ya hapo... Sijawai kuitumia ndio nataka nianze kuitumia ili niwe nawauzia watu Internet ata waliopo mbali kidogo na eneo langu la kazi.
Screenshot_20240804_232819_Jijicotz.jpg
 
Mwenye uzoefu na Hizi Extender ni ipi naweza kuitumia ikaisaidia Router yangu ya Vodacom iweze kusoma umbari wa zaidi ya Mita 300 au zaidi ya hapo... Sijawai kuitumia ndio nataka nianze kuitumia ili niwe nawauzia watu Internet ata waliopo mbali kidogo na eneo langu la kazi.
View attachment 3061768
Mita 300 parefu sana hizo hazitoboi hasa kama kuna mitimiti.

Tafuta outdoor extender ama tumia waya kabisa kusafirisha eneo husika halafu ndio weka router ikifika.
 
Back
Top Bottom