Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
200K plus RouterTupeane hizo code za halotel. Inapatikana kwa bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
200K plus RouterTupeane hizo code za halotel. Inapatikana kwa bei gani?
Asante broYeah
Halotel vifurushi vyao vya unlimited viko vipi?Halotel GB mwez 🔥🔥
GB 13 Kwa 14000
GB 14 Kwa 15000
GB 15 Kwa 16000
GB 16 Kwa 17000
GB 18 Kwa 19000
GB 20 Kwa 21000
GB 30 Kwa 29000
GB 33 Kwa 32000
👆👆👆👆Kama unahitaji Nina package tano wahi
Interested inbox me
Vifurushi vyao gharama yake iko vipi?200K plus Router
Kifurushi ni kimoja tu kinauzwa 50KVifurushi vyao gharama yake iko vipi?
Kifurushi ni kimoja tu kinauzwa 50K
Hakifahamiki kina speed gani maana kuna muda unaweza kupata hadi 40Mbps
Lakini pia muda mwingi ni chini ya 10Mbps.
Unlimited ila speed yake kama una haraka itakuboaGB za kupimiwa? au ni UNLIMITED?
-Kaveli-
Location ya sasa inasoma 5G?Leo niko location tofauti na ile ninayokuwaga mida hii, naona sijaexperience shida yoyote ya mtandao..
View attachment 3057936
Sio mbayaKifurushi ni kimoja tu kinauzwa 50K
Hakifahamiki kina speed gani maana kuna muda unaweza kupata hadi 40Mbps
Lakini pia muda mwingi ni chini ya 10Mbps.
Kuhusu kwenye router utaratibu wao ni sawa na airtel au naweza kutumia router yoyote?Unlimited ila speed yake kama una haraka itakuboa
Hata ukiwa na Router yako unasajiliwa tu laini na kulipia kifurushi cha 50K then biashara inakuwa imeishaKuhusu kwenye router utaratibu wao ni sawa na airtel au naweza kutumia router yoyote?
Hapana, niko maeneo ya 4G tu.Location ya sasa inasoma 5G?
Hii safi sio mambo ya kulazimishana kununua routerHata ukiwa na Router yako unasajiliwa tu laini na kulipia kifurushi cha 50K then biashara inakuwa imeisha
LIne zao ni hizi za M2M au ni tofauti?Hata ukiwa na Router yako unasajiliwa tu laini na kulipia kifurushi cha 50K then biashara inakuwa imeisha
Ndio hizo hizoLIne zao ni hizi za M2M au ni tofauti?
Unajiungaje bando?Ndio hizo hizo
package tanoHalotel GB mwez 🔥🔥
GB 13 Kwa 14000
GB 14 Kwa 15000
GB 15 Kwa 16000
GB 16 Kwa 17000
GB 18 Kwa 19000
GB 20 Kwa 21000
GB 30 Kwa 29000
GB 33 Kwa 32000
👆👆👆👆Kama unahitaji Nina package tano wahi
Interested inbox me