Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hii network ya tigo ni mzigo msijaribu aisee ila jioni inakimbiza sana hizi router zina ujinga sanaView attachment 3049865
Kwa ninavofaham mm kwenye mkataba wa Tigo na router zao za 5G Kuna kipengele kinasema unapewa gb kiasi gani kwa siku ukimaliza in a day wana limit speed. Mfano kama cha 70,000 10mbps wanakuwa wanakupa gbs 10 kwa siku Ukiziisha wana limit speed to 1mbps mpaka saa Sita usiku wanakupa 10gbs nyengine. Inakuwa hivo mpaka mwezi uishe
 
Upo sahihi mkuu ila wanaujinga wa kukupa 3G Kabisa network ikiyumba
 
Halotel GB mwez 🔥🔥

GB 13 Kwa 14000
GB 14 Kwa 15000
GB 15 Kwa 16000
GB 16 Kwa 17000
GB 18 Kwa 19000
GB 20 Kwa 21000
GB 30 Kwa 29000
GB 33 Kwa 32000
👆👆👆👆Kama unahitaji Nina package tano wahi

Interested inbox me
 
Wadau wa airtel, mtandao leo umekaaje pande hizo?

Huku kwangu naona miyeyusho, speed hamna kabisa
 
Location niliyopo internet ya Airtel huwa inashuka kuanzia saa moja jioni mpaka saa nne hivii.... Na siyo kwenye router tu bali hadi kwenye line ya kawaida speed ni ndogo vilevile...

Na nimekuja kugundua inategemeana na eneo na eneo, hilo eneo mara nyingi usiku ndiyo nakuwaga hapo. Ila siku nikiwa home sipati mushkeli ya mtandao kabisa mida hiyo.

Hivyo nikaja kuconclude kwamba eneo hilo huenda mnara wa mawasiliano mida hiyo huwa unazidiwa au ni technical errors tu za mnara husika.
 
Kwa udhamini wa vodacom speed ndogo sana enewei bando halikopwi Cc ephen_
Screenshot_20240729-200253.jpg
 
Back
Top Bottom