Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Namba yake nimeopoteza ila post za juu huko uki trace niliweka namba zakeMkuu niunganishe na huyo jamaa anaeuza router ya Halotel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba yake nimeopoteza ila post za juu huko uki trace niliweka namba zakeMkuu niunganishe na huyo jamaa anaeuza router ya Halotel
Wahuni Hawa dukani kwao walisema ni 5G hii router Yao nikachanga na wadau wa tatu ili tuibebe Leo inafanya hiviHii ping mbona kama 3G
Hawafai achana naoYani ilibakia hivi, nichukue Router yao.
Nikama hirizi ilibana
Fiber tatizo azipo sehemu zote mkuuWakuu fibres ndio mpango mzima hizi routes mtapata presha na kisukari,
AU starlink ingekuwepo Inge Saidia sana
Kuelezea Uchaguzi fibre zitakuwa zimefika tegetaFiber tatizo azipo sehemu zote mkuu
Kwa ninavofaham mm kwenye mkataba wa Tigo na router zao za 5G Kuna kipengele kinasema unapewa gb kiasi gani kwa siku ukimaliza in a day wana limit speed. Mfano kama cha 70,000 10mbps wanakuwa wanakupa gbs 10 kwa siku Ukiziisha wana limit speed to 1mbps mpaka saa Sita usiku wanakupa 10gbs nyengine. Inakuwa hivo mpaka mwezi uisheHii network ya tigo ni mzigo msijaribu aisee ila jioni inakimbiza sana hizi router zina ujinga sanaView attachment 3049865
Upo sahihi mkuu ila wanaujinga wa kukupa 3G Kabisa network ikiyumbaKwa ninavofaham mm kwenye mkataba wa Tigo na router zao za 5G Kuna kipengele kinasema unapewa gb kiasi gani kwa siku ukimaliza in a day wana limit speed. Mfano kama cha 70,000 10mbps wanakuwa wanakupa gbs 10 kwa siku Ukiziisha wana limit speed to 1mbps mpaka saa Sita usiku wanakupa 10gbs nyengine. Inakuwa hivo mpaka mwezi uishe
Mm kuelewa ivo nimeona Bora nirudi voda tu na package yao ya 115,000 na hawakupi limit Kama airtel ya 1terabyte kwa mwezi unashusha mizigo mikubwaUpo sahihi mkuu ila wanaujinga wa kukupa 3G Kabisa network ikiyumba
115K si 4G?Mm kuelewa ivo nimeona Bora nirudi voda tu na package yao ya 115,000 na hawakupi limit Kama airtel ya 1terabyte kwa mwezi unashusha mizigo mikubwa
Ndio mkuu. Eneo langu haijapita 5G ya Voda115K si 4G?
Ttcl wako vizuri sana upande wa speed, siwezi kuwalinganisha na kampuni yoyote hapa Bongo. Natumia kifurushi cha chini kabisa (cha 55k) lkn ni kama natumia cha 200k cha airtel!Vipi stability ya internet ukilinganisha na airtel,
All in all ipi ni bora kwako?
Shida hawa jamaa kuwapata, ngoja nianze kufuatilia huku wilayan ubungo kama ipoTtcl wako vizuri sana upande wa speed, siwezi kuwalinganisha na kampuni yoyote hapa Bongo. Natumia kifurushi cha chini kabisa (cha 55k) lkn ni kama natumia cha 200k cha airtel!
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hata kwangu mkuuWadau wa airtel, mtandao leo umekaaje pande hizo?
Huku kwangu naona miyeyusho, speed hamna kabisa