Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hawa na voda wana undugu mwananguLocation niliyopo internet ya Airtel huwa inashuka kuanzia saa moja jioni mpaka saa nne hivii.... Na siyo kwenye router tu bali hadi kwenye line ya kawaida speed ni ndogo vilevile...
Na nimekuja kugundua inategemeana na eneo na eneo, hilo eneo mara nyingi usiku ndiyo nakuwaga hapo. Ila siku nikiwa home sipati mushkeli ya mtandao kabisa mida hiyo.
Hivyo nikaja kuconclude kwamba eneo hilo huenda mnara wa mawasiliano mida hiyo huwa unazidiwa au ni technical errors tu za mnara husika.