Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

6OK kipande, kuna wamba wana unlock hiyo device gharama ya juu maximum ni 10$ sawa na 28,000 tu.

Screenshot_20240916-192740.png

Nilichokuja kugundua hata watanzania wengi wanaotangaza ku unlock hizi device sio kama hiyo kazi wanafanya wao.

Kuna mmoja nilimcheki baada ya kuona tangazo lake akanitajia bei 35K nikatulia.

Nikaingia YouTube kwenye channel ya muarabu mmoja nikamcheki WhatsApp akaniambia anafanya unlock kwa 8$ hapo ni baada ya kufanya utanzania yani kumshusha kwenye bei yake ya asili ambayo ni 10$
Screenshot_20240916-192946.png

Sasa huyu jamaa nikamuomba anioneshe uthibitisho wowote kufanya nimuamini kwasababu ya scam zimekuwa nyingi hususan ni huduma inafanywa baada ya malipo.

Jamaa alinitumia screenshot za chats za wateja zake kutoka taifa langu yani wabongo wenye code za +255

Akazi crop zile screenshot chats kwa kutoonesha full namba lakini moja ya chat katika zile screenshot ilikuwa ina dp ya yule jamaa aliyeniambia ana unlock kwa 35K.

Kwa hiyo nikagundua kuwa hawa wabongo waliowengi wanaosema wana unlock hizi device ni kama madalali tu ambao hawafanyi wao hizo kazi bali kuna mtu ndio wanayemtumia.
 
6OK kipande, kuna wamba wana unlock hiyo device gharama ya juu maximum ni 10$ sawa na 28,000 tu.

View attachment 3097704

Nilichokuja kugundua hata watanzania wengi wanaotangaza ku unlock hizi device sio kama hiyo kazi wanafanya wao.

Kuna mmoja nilimcheki baada ya kuona tangazo lake akanitajia bei 35K nikatulia.

Nikaingia YouTube kwenye channel ya muarabu mmoja nikamcheki WhatsApp akaniambia anafanya unlock kwa 8$ hapo ni baada ya kufanya utanzania yani kumshusha kwenye bei yake ya asili ambayo ni 10$View attachment 3097705

Shida ya sisi wabongo ujanja ujanja mwingi sana😂
 
Wakuu hizi router za Airtel zipo compatible na extender za antenna zenye uwezo wa kufika mita 300+?
Extender za antenna hapa TZ zipo na sh ngapi?

Kuna watu wanahitaji huduma hii ndo maana nauliza

Mwenye mawazo maana tutasaidia wengi
Cc Chief Mkwara na wengine
Njia nzuri ya kutumia Extender/secondary router ni kutumia ethernet, unahitaji router iwe na Wan, karibia router zote zina support hili, hata ikiwa haina Wan itatumia tu wifi hio hio.

Extender za masafa marefu zipo ila utapata bei rahisi ukiagizishia kuliko kununua Hapa, Online possible kupata chini ya laki. Keyword tumia outdoor wifi extender.
 
Asante bro sana
 
Samahani..naomba mwenye kufaham anipatie Menu ya Voda juu ya Vifurushi vya Dakika na SMS kwa mwezi kama ilivyo kwa Mtandao wa Tigo na Airtel maana kwa Vodacom sioni hiyo Menu.
Ahsante.
 
[emoji845]OFA OFA OFA [emoji845]ZA LEO

GB ZA HALOTEL WIKI 2
GB5=5,000
GB7=7,000
Gb10=10000.

GB ZA HALOTEL MWEZI
Gb10= 10000
GB13=12500
GB15=14,000
GB17=16,000
GB20=19,000
GB25=24,000
Gb30=27,000
Gb35=30,000
GB40=35,000
Gb45=38,000
Gb60=50,000
Gb90=80,000
Uaminifu ndo siraha yetu, una subiri nini usajili sasa halotel leo usipitwe, kabla bei hazijabadika
[emoji338] 0618279799
0712776823
 
6OK kipande, kuna wamba wana unlock hiyo device gharama ya juu maximum ni 10$ sawa na 28,000 tu.

View attachment 3097704

Nilichokuja kugundua hata watanzania wengi wanaotangaza ku unlock hizi device sio kama hiyo kazi wanafanya wao.

Kuna mmoja nilimcheki baada ya kuona tangazo lake akanitajia bei 35K nikatulia.

Nikaingia YouTube kwenye channel ya muarabu mmoja nikamcheki WhatsApp akaniambia anafanya unlock kwa 8$ hapo ni baada ya kufanya utanzania yani kumshusha kwenye bei yake ya asili ambayo ni 10$View attachment 3097705

Sasa huyu jamaa nikamuomba anioneshe uthibitisho wowote kufanya nimuamini kwasababu ya scam zimekuwa nyingi hususan ni huduma inafanywa baada ya malipo.

Jamaa alinitumia screenshot za chats za wateja zake kutoka taifa langu yani wabongo wenye code za +255

Akazi crop zile screenshot chats kwa kutoonesha full namba lakini moja ya chat katika zile screenshot ilikuwa ina dp ya yule jamaa aliyeniambia ana unlock kwa 35K.

Kwa hiyo nikagundua kuwa hawa wabongo waliowengi wanaosema wana unlock hizi device ni kama madalali tu ambao hawafanyi wao hizo kazi bali kuna mtu ndio wanayemtumia.
4713.png
 
Hizi ni feature ambazo zipo disabled kwa normal users.

Wataalamu wanasema kuna madaraja matatu ya ku access hizi Router. Sisi tupo daraja la chini kabisa linaitwa basic user

Daraja la pili linaitwa Administrator Account na daraja la kwanza ni Super Admin
Sema nawaelewa kuweka haya madaraja, maana layman tuko wengi sana mtaani, access zingine mtu anaweza kuzigusagusa kisha ikawa usumbufu kwake badala ya kuwa msaada..
 
[emoji845]OFA OFA OFA [emoji845]ZA LEO

GB ZA HALOTEL WIKI 2
GB5=5,000
GB7=7,000
Gb10=10000.

GB ZA HALOTEL MWEZI
Gb10= 10000
GB13=12500
GB15=14,000
GB17=16,000
GB20=19,000
GB25=24,000
Gb30=27,000
Gb35=30,000
GB40=35,000
Gb45=38,000
Gb60=50,000
Gb90=80,000
Uaminifu ndo siraha yetu, una subiri nini usajili sasa halotel leo usipitwe, kabla bei hazijabadika
[emoji338] 0618279799
0712776823
mkuu kifurushi kwanza halafu ndo natuma hela sawa...??😅
 
Sema nawaelewa kuweka haya madaraja, maana layman tuko wengi sana mtaani, access zingine mtu anaweza kuzigusagusa kisha ikawa usumbufu kwake badala ya kuwa msaada..
Yeah ila kwa namna nyingine ni kuzuia watu wasipate upenyo wa kufanya biashara.

Mfano kwa super admin unaweza kugawa Mb kwa watu waliounganisha WiFi yako, ukamuwekea mtu limitation ya kiasi fulani cha MB tu.

Au kumsetia kiasi fulani cha speed kama ambavyo wananifanyia mimi kila nifikishapo 1TB.
 
Aisee hii nzuri....

Hizi router tunaziunlock vipi sasa..
 
Aisee hii nzuri....

Hizi router tunaziunlock vipi sasa..
Hapo juu kwenye screenshots za watu wawili ambao wana unlock hiyo device.

Ila huyu muarabu ndio alioyenijibu exactly kuwa anaweza ku grant hiyo access ya super admin after unlock.
 
Back
Top Bottom