Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50K halafu speed ni 50mbps? Ama cha magumashi?Nimeona tangazo la kifurushi kipya cha Airtel kutoka kwa team leader aliyeniuzia Router.
Bei ya kifurushi nimeambiwa ni 50K ila sharti ni mpaka uwe na Router ya Airtel model zlt x28 au X25.
Gharama za kuunganishiwa kasema ni 100,000 kwa hiyo pamoja na kifurushi jumla ni 150K.
Kuunganisha ni mpaka usajiliwe line special halafu aichukue hiyo Router akaifanyie configurations anazozijua yeye ndio kifurushi hicho kifanye kazi..
Kuhusu speed kaniambia ni Mbps 50 hadi 120....Kwa hiyo minimum ni 50Mbps...
Mimi nimeogopa kujaribu kwa kile kilichonikuta kwa Halotel sitaki kukurupuka tena.
Huwa hakuna njia maalum mkuu, wakilimit hio speed ni website zote ama website maalum?Wataalamu hivi kuna apk au software yoyote ya kubypass speed limit kwa laini husika?
Mfano unapewa GB 30 za kasi zikiisha unapata limited speed
nikipiga hizo namba naambiwa try again, shida itakuwa ni nini?*148*44# hapo unajisjili na tin number na ID hakikisha kwenye account una elfu kumi ya kujinga, vifurushi vyake ni kama aitel sme.View attachment 3107881View attachment 3107882
Hivi vifurushi ni official kabisa, kama unapata changamoto yoyote wapigie 100nikipiga hizo namba naambiwa try again, shida itakuwa ni nini?
Nilivyoelewa ni kuwa hiki sio kifurushi official ni fraud wanafanya kuizunguka kampuni.50K halafu speed ni 50mbps? Ama cha magumashi?
150K halafu kinaisha mwezi, too risk.Nilivyoelewa ni kuwa hiki sio kifurushi official ni fraud wanafanya kuizunguka kampuni.
Ila nao wameweka hela ndefu kwenye mchakato wa kuset hicho kifurushi.
Baada ya hapo ni kuwa utaweza kununua mwenyewe kwa bei ya 50K150K halafu kinaisha mwezi, too risk.
Mkuu hio menu ya unlimited unaenda wapi? Mimi nina line ya super corpToka Halotel waje na M2M nimesajili Line mbili.. Moja hiyo haipigi wala kupokea ya data only... Hii haina maajabu sana hata uungaji wake ni mgumu mpaka uwe na line ya halotel nyengine maana haina Halopesa na bando zake zinaanzia 15k kwa mwezi au 5k kwa wiki, 15k gb 18 na hiyo ya 5k gb 4..
Pia nilisaijili nyengine baadae ya special ila inapiga na kupokea sms yaani ni kama line ya kawaida pia ndani yake kuna menu ya bando ya ile la M2M isiyopiga wala kupokea... pia ina vifurushi vyengine vikubwa zaidi vyenye dakika na sms... Hii alienisajilia aliniambia nikijiunga bando la elfu 50 ndo naweza kupata hiyo unlimited (actually sio unlimited bali ni gb 100,, zikiisha speed inapungua) pia unapata sms na dakika... naweka na poster hapa kwa maelezo zaidi.
Website zote mkuuHuwa hakuna njia maalum mkuu, wakilimit hio speed ni website zote ama website maalum?
Daah bongo nyoso sana..Leo jioni baada ya kufikisha 1.05TB
View attachment 3108749
Hiki ndio nilichokutana nacho
View attachment 3108748
Na hapo ikumbukwe kua hii ni Router nyingine kabisa tofauti na ile ya mwanzo ambayo ilikuwa imeandamwa na tatizo la kupunguziwa speed.
So now naweza kuhitimisha kuwa ni kweli Airtel wanapunguza speed pindi ufikiapo matumizi ya 1TB
Bongo utapeli ni mwingi na wanafanya hivyo kwasababu hakuna watu wa kuwawajibisha.Daah bongo nyoso sana..
Menu hiyo hiyo ya corp utakuta package inaitwa lux (30 days)Mkuu hio menu ya unlimited unaenda wapi? Mimi nina line ya super corp
Mkuu halotel ilikuwaje? Hembu toa kisa chako maana mimi na tumia Halotel ina mwaga moto vizuri tu via X28 udhamini wa AirtelNimeona tangazo la kifurushi kipya cha Airtel kutoka kwa team leader aliyeniuzia Router.
Bei ya kifurushi nimeambiwa ni 50K ila sharti ni mpaka uwe na Router ya Airtel model zlt x28 au X25.
Gharama za kuunganishiwa kasema ni 100,000 kwa hiyo pamoja na kifurushi jumla ni 150K.
Kuunganisha ni mpaka usajiliwe line special halafu aichukue hiyo Router akaifanyie configurations anazozijua yeye ndio kifurushi hicho kifanye kazi..
Kuhusu speed kaniambia ni Mbps 50 hadi 120....Kwa hiyo minimum ni 50Mbps...
Mimi nimeogopa kujaribu kwa kile kilichonikuta kwa Halotel sitaki kukurupuka tena.
Hizo features zote mna taka zanini wakuu? Lets be honest kz hata ukiwa nazo hamna alteration una weza fanya kwenye hiyo router zaidi ya kuona zipo tu. Inshort wakisha unlock via Root user utakuwa nazo ila sio big deal kama router yako kuanza access other sim cards plus e sim piaMbona ya kwako haina super user?
Hii ya kwako ina parent control na remote access kweli?
Halotel nilikuwa natumia kwenye Router yao ile ndogo na mwanzo speed nilikuwa napata 20MbpsMkuu halotel ilikuwaje? Hembu toa kisa chako maana mimi na tumia Halotel ina mwaga moto vizuri tu via X28 udhamini wa Airtel
Okey boss asante wa kunijibu, mchango wangu hauna tofauti sana na wako ila na tafiti zangu pia kuhusu halotel. Hawa jamaa niko nao mwezi wa pili sasa, na dhumuni la kutumia ni urahisi wa unlimited yao, mimi natumia home tu kwa ajili ya kustream IPTV sina kingamuzi na deal na IPTV kuanzia mpira, movies and series actually nimepata app ina nipa all in one so ikabidi ni check wapi na unlimited ya bei nafuu. Halotel ina changamoto kuna siku ina weza kuwa sawa nika stream fresh kabisa bila buffering na kuna siku ina kata mno. So kama huna uvumilivu nao hawafai kwa kweli, changamoto nyingine ni network pia sio stable haipo kila mahali zaidi 4G ina bidi router kuitegeshea sana kupata network nzuri.Halotel nilikuwa natumia kwenye Router yao ile ndogo na mwanzo speed nilikuwa napata 20Mbps
Ila siku zilivyokuwa zinasonga ndio speed ilipokuwa inapungua.
Ila ikifika majira ya usiku ilikuwa kasi sana yani hadi 40Mbps ilikuwa inafika.
Lakini mida ya mchana unakuta hadi kufungua picha WhatsApp ni mtihani.
Nikarudi kwenye Airtel.
Wapo wanangu wawili wao wakakimbilia huko, nao mambo yamekuwa ni hivyo hivyo.
Mmoja kati yao anatumia Router ya Airtel aliyo unlock lakini leo kanicheki ananiambia anafikiria kurudi Airtel kutokana na speed kuwa ya kinyonga.
So mwanzo nilikuwa nafikiri labda pengine ni Router tu inashindwa ku push, lakini tangu nione changamoto hiyo kwa rafiki yangu basi nabaki kusema huwenda itakuwa ni ishu ya eneo tu.
Napo kwenye eneo bado nina doubt kwasababu why iwe kifurushi hicho tu? Mbona kifurushi cha kawaida cha Halotel mambo yanaenda vizuri hakuna mkwamo?
Mimi ni mtu ambaye napenda ku customize device na ndio maana hata iPhone kwangu sio chaguo langu.Hizo features zote mna taka zanini wakuu? Lets be honest kz hata ukiwa nazo hamna alteration una weza fanya kwenye hiyo router zaidi ya kuona zipo tu. Inshort wakisha unlock via Root user utakuwa nazo ila sio big deal kama router yako kuanza access other sim cards plus e sim pia
Jamaa wana unlock take ur risk tu ila they can do it in less than 20minutes. Yangu ni unlocked am currently on M2M halotel na flow kwa 50k ila kama kawaida network una jitafutia.
Mi ndio maana sitaki kuamini kama hii changamoto inatokana na location.Okey boss asante wa kunijibu, mchango wangu hauna tofauti sana na wako ila na tafiti zangu pia kuhusu halotel. Hawa jamaa niko nao mwezi wa pili sasa, na dhumuni la kutumia ni urahisi wa unlimited yao, mimi natumia home tu kwa ajili ya kustream IPTV sina kingamuzi na deal na IPTV kuanzia mpira, movies and series actually nimepata app ina nipa all in one so ikabidi ni check wapi na unlimited ya bei nafuu. Halotel ina changamoto kuna siku ina weza kuwa sawa nika stream fresh kabisa bila buffering na kuna siku ina kata mno. So kama huna uvumilivu nao hawafai kwa kweli, changamoto nyingine ni network pia sio stable haipo kila mahali zaidi 4G ina bidi router kuitegeshea sana kupata network nzuri.