Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

50K halafu speed ni 50mbps? Ama cha magumashi?
 
150K halafu kinaisha mwezi, too risk.
Baada ya hapo ni kuwa utaweza kununua mwenyewe kwa bei ya 50K

Bado lakini kwangu naona ni risk vilevile kwasababu hivi ni vifurushi ambavyo havikupi guarantee ya kuendelea kuwepo.

Kama havijapitia njia halali maana yake siku yeyote kampuni ikasanukia mchongo basi umekwisha.

Na wao wameweka hela ndefu kwa tamaa zao ni kama wanataka kutumia huo mwanya kumalizia matatizo yao.
 
Leo jioni baada ya kufikisha 1.05TB


Hiki ndio nilichokutana nacho



Na hapo ikumbukwe kua hii ni Router nyingine kabisa tofauti na ile ya mwanzo ambayo ilikuwa imeandamwa na tatizo la kupunguziwa speed.

So now naweza kuhitimisha kuwa ni kweli Airtel wanapunguza speed pindi ufikiapo matumizi ya 1TB
 
Mkuu hio menu ya unlimited unaenda wapi? Mimi nina line ya super corp
 
Daah bongo nyoso sana..
 
Mkuu halotel ilikuwaje? Hembu toa kisa chako maana mimi na tumia Halotel ina mwaga moto vizuri tu via X28 udhamini wa Airtel
 
Mbona ya kwako haina super user?

Hii ya kwako ina parent control na remote access kweli?
Hizo features zote mna taka zanini wakuu? Lets be honest kz hata ukiwa nazo hamna alteration una weza fanya kwenye hiyo router zaidi ya kuona zipo tu. Inshort wakisha unlock via Root user utakuwa nazo ila sio big deal kama router yako kuanza access other sim cards plus e sim pia
Jamaa wana unlock take ur risk tu ila they can do it in less than 20minutes. Yangu ni unlocked am currently on M2M halotel na flow kwa 50k ila kama kawaida network una jitafutia.
 
Mkuu halotel ilikuwaje? Hembu toa kisa chako maana mimi na tumia Halotel ina mwaga moto vizuri tu via X28 udhamini wa Airtel
Halotel nilikuwa natumia kwenye Router yao ile ndogo na mwanzo speed nilikuwa napata 20Mbps

Ila siku zilivyokuwa zinasonga ndio speed ilipokuwa inapungua.

Ila ikifika majira ya usiku ilikuwa kasi sana yani hadi 40Mbps ilikuwa inafika.

Lakini mida ya mchana unakuta hadi kufungua picha WhatsApp ni mtihani.

Nikarudi kwenye Airtel.

Wapo wanangu wawili wao wakakimbilia huko, nao mambo yamekuwa ni hivyo hivyo.

Mmoja kati yao anatumia Router ya Airtel aliyo unlock lakini leo kanicheki ananiambia anafikiria kurudi Airtel kutokana na speed kuwa ya kinyonga.

So mwanzo nilikuwa nafikiri labda pengine ni Router tu inashindwa ku push, lakini tangu nione changamoto hiyo kwa rafiki yangu basi nabaki kusema huwenda itakuwa ni ishu ya eneo tu.

Napo kwenye eneo bado nina doubt kwasababu why iwe kifurushi hicho tu? Mbona kifurushi cha kawaida cha Halotel mambo yanaenda vizuri hakuna mkwamo?
 
Okey boss asante wa kunijibu, mchango wangu hauna tofauti sana na wako ila na tafiti zangu pia kuhusu halotel. Hawa jamaa niko nao mwezi wa pili sasa, na dhumuni la kutumia ni urahisi wa unlimited yao, mimi natumia home tu kwa ajili ya kustream IPTV sina kingamuzi na deal na IPTV kuanzia mpira, movies and series actually nimepata app ina nipa all in one so ikabidi ni check wapi na unlimited ya bei nafuu. Halotel ina changamoto kuna siku ina weza kuwa sawa nika stream fresh kabisa bila buffering na kuna siku ina kata mno. So kama huna uvumilivu nao hawafai kwa kweli, changamoto nyingine ni network pia sio stable haipo kila mahali zaidi 4G ina bidi router kuitegeshea sana kupata network nzuri.
 
Mimi ni mtu ambaye napenda ku customize device na ndio maana hata iPhone kwangu sio chaguo langu.

Hizo option unazoona sio za maana ila kwangu mimi hizo option ni the best.

Kwangu mimi kuwa limited na hizo features naona ni sawa na wewe upewe simu ya mkopo ambayo inakuwezesha kupiga simu tu na kupokea halafu nakuambia hizo ndio features muhimu kwenye simu hayo mambo ya Camera sijui WhatsApp nk. Sio mambo ya msingi
 
Mi ndio maana sitaki kuamini kama hii changamoto inatokana na location.

Hii ni figisu za wao wenyewe tu. Kwanza kifurushi hakifahamiki speed rasmi ni kiasi gani ili hata ikipungua ujue imepungua kwa kiasi gani kutoka kwenye asili yake.

Lakini kitu kingine kuna siku iliwahi kumtokea mwanangu mtandao uli shake kiasi kwamba hata kufungua Gmail alishindwa.

Akamipigia simu akilalamika kuwa mtandao wa Gmail unasumbua, mi nikamwambia ngoja ni test kwangu.

Nilipo test huku ikafunguka, nikamuambia tumia mobile data kufungua. Alipofanya hivyo mambo yakawa fresh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…