NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 797
- 1,653
Kiaje hebu nifafanulie mkuuKuna utapeli fulani tigo post Paid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiaje hebu nifafanulie mkuuKuna utapeli fulani tigo post Paid
Ili ujiunge tigo postpaid mnapaswa angalau muungane watu wawili kuendelea, utawapa namba yako wakuunge afu wataiweka pamoja na namba nyingine ambayo sio active wala haipatikani, kwahiyo haitakuwa inalipia bills za mwezi, hilo deni litakuwa kubwa mwisho wa siku laini yako itafungwa ulipie deni la hio namba nyingine. Lastly nimelipa kama 90k ambayo si deni langu Nika quit mapema, nimegundua sipo mwenyewe pia kuna jamaa zangu wanafanyiwa hivo.Kiaje hebu nifafanulie mkuu
Duh sasa tutaponea wapi. Ngoja nijichange nijaribu airtel au halotelIli ujiunge tigo postpaid mnapaswa angalau muungane watu wawili kuendelea, utawapa namba yako wakuunge afu wataiweka pamoja na namba nyingine ambayo sio active wala haipatikani, kwahiyo haitakuwa inalipia bills za mwezi, hilo deni litakuwa kubwa mwisho wa siku laini yako itafungwa ulipie deni la hio namba nyingine. Lastly nimelipa kama 90k ambayo si deni langu Nika quit mapema, nimegundua sipo mwenyewe pia kuna jamaa zangu wanafanyiwa hivo.
Mkongwe, si ulikuwa unatumia Voda Supa kasi!?Ni balaaa hata Leo ndio maana nilikuwa sipo online hadi nikanunua gb 7 za postpaid Airtel hapa ndio natumia
Airtel wana SME ambayo kwangu naona iko more user-friend maana unajiunga peke yako bila kuhitaji watu wengine.SME na POSTPAID...namba ufafanuzi tafadhali
Asante kwa ufafanuziAirtel wana SME ambayo kwangu naona iko more user-friend maana unajiunga peke yako bila kuhitaji watu wengine.
View attachment 3117276
Voda na Tigo wana Post-Paid ambazo naona wengi wanazilalamikia.
Halotel wao naona wana variety nyingi nyingi ikiwemo M2M ambayo naona wengi ndiyo wanaipenda.
Post paid ya MTU mmoja ndio inayotumia sasa hivi, ya kikundi tulifeli tukalipa madeni ambayo wala hayakuwa yetuIli ujiunge tigo postpaid mnapaswa angalau muungane watu wawili kuendelea, utawapa namba yako wakuunge afu wataiweka pamoja na namba nyingine ambayo sio active wala haipatikani, kwahiyo haitakuwa inalipia bills za mwezi, hilo deni litakuwa kubwa mwisho wa siku laini yako itafungwa ulipie deni la hio namba nyingine. Lastly nimelipa kama 90k ambayo si deni langu Nika quit mapema, nimegundua sipo mwenyewe pia kuna jamaa zangu wanafanyiwa hivo.
Wakuu Una weza kutrack simu kwa kutumia email ya unae taka ku mtrack
Yes, ila awe amewasha data , ai data na location , pia uwe unajua password ya email yakeWakuu Una weza kutrack simu kwa kutumia email ya unae taka ku mtrack
Hebu elezea zaidi😀Yes, ila awe amewasha data , ai data na location , pia uwe unajua password ya email yake
Kwa kufupisha story hapo ni kwamba unatumia Google find my device.Hebu elezea zaidi😀
Ooh sawa ila me nili itaji kujua mfano..wewe ume nitumia document kwa email then mimi nataka kuku track kwa kutumia email yako ulio nitumia huo ujumbe nikupate ulipoKwa kufupisha story hapo ni kwamba unatumia Google find my device.
Unaweza kuaccess location ya muhusika, unaweza kureset simu au kubadili password ukiwa na email yake na password.
Unachopaswa ni kulogin as a guest kwenye account yake kwa kutumia Google find my device
inawezekana kwa phishing technique,..Wakuu Una weza kutrack simu kwa kutumia email ya unae taka ku mtrack
Ni wazinguaji sana mkuuMkongwe, si ulikuwa unatumia Voda Supa kasi!?
Vipi, na wenyewe wamekuwa wababaishaji?