Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kiaje hebu nifafanulie mkuu
Ili ujiunge tigo postpaid mnapaswa angalau muungane watu wawili kuendelea, utawapa namba yako wakuunge afu wataiweka pamoja na namba nyingine ambayo sio active wala haipatikani, kwahiyo haitakuwa inalipia bills za mwezi, hilo deni litakuwa kubwa mwisho wa siku laini yako itafungwa ulipie deni la hio namba nyingine. Lastly nimelipa kama 90k ambayo si deni langu Nika quit mapema, nimegundua sipo mwenyewe pia kuna jamaa zangu wanafanyiwa hivo.
 
Duh sasa tutaponea wapi. Ngoja nijichange nijaribu airtel au halotel
 
SME na POSTPAID...namba ufafanuzi tafadhali
Airtel wana SME ambayo kwangu naona iko more user-friend maana unajiunga peke yako bila kuhitaji watu wengine.
Screenshot_2024-10-06-02-02-57-116_com.android.phone-edit.jpg

Voda na Tigo wana Post-Paid ambazo naona wengi wanazilalamikia.

Halotel wao naona wana variety nyingi nyingi ikiwemo M2M ambayo naona wengi ndiyo wanaipenda.
 
Ili ujiunge tigo postpaid mnapaswa angalau muungane watu wawili kuendelea, utawapa namba yako wakuunge afu wataiweka pamoja na namba nyingine ambayo sio active wala haipatikani, kwahiyo haitakuwa inalipia bills za mwezi, hilo deni litakuwa kubwa mwisho wa siku laini yako itafungwa ulipie deni la hio namba nyingine. Lastly nimelipa kama 90k ambayo si deni langu Nika quit mapema, nimegundua sipo mwenyewe pia kuna jamaa zangu wanafanyiwa hivo.
Post paid ya MTU mmoja ndio inayotumia sasa hivi, ya kikundi tulifeli tukalipa madeni ambayo wala hayakuwa yetu
 
Kwa kufupisha story hapo ni kwamba unatumia Google find my device.
Unaweza kuaccess location ya muhusika, unaweza kureset simu au kubadili password ukiwa na email yake na password.
Unachopaswa ni kulogin as a guest kwenye account yake kwa kutumia Google find my device
Ooh sawa ila me nili itaji kujua mfano..wewe ume nitumia document kwa email then mimi nataka kuku track kwa kutumia email yako ulio nitumia huo ujumbe nikupate ulipo
 
Back
Top Bottom