Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Tigo 4G nimetumia maeno ya Kitunda na kivule unapata kama 20MBps hivi, jaribu 4G
chief hapa me nilipo mda wote inasoma E, hadi nilishaisahau kwenye internet. natumia tu kupiga na kutuma sms kwenye simu ndogo.
yani hadi 4g ni hivo hivo usumbufu tu.
 
Mkuu hiyo GB 1 ya tigo kwa sh 600 inatumika ndani ya muda gani
 


Hiyo 1 gb kwa tigo ya 600 ni ya wiki au 24 hours
 
Hii ya Airtel 10GB kwa Shs 600 usiku si walishaitoa? Au kuna code za siri nijiunge.
 
nipo dar ukonga, yani ikisimama H+ ni hapo hapo. yani kama nadownload file la 1 gb. huezi amini natumia kama dakika45 tu. na natumia 3g network. ila uku ukiwa na tigo ndo utatamani kulia.
Tembelea Dodoma ulie, VodaCom ya Dodoma iko slow sana, ikisoma H+ ni uongo, H+ halafu hamna kasi kabisa, au H+ halafu network signal zinaonyesha blank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…