Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sasa tigo 4G na Halotel 3G ipi iko fasta???? Fanya uchunguzi afu niambie

Yaani unaifananisha 4g boss na 3g ni sawa na ist na V8 ambavyo haviendani kiufupi speed ya Tigo kwa 4g ni story nyingine hata TTCL kiukweli anakaa ila sasa ndo mb zinaenda sio kitoto
 
Wapuuzi sana hawa wanalimit speed nimejiunga UN ya airtel money speed inacheza kwenye 30 to KB/s[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sio sababu ya eneo mkuu?, mimi hii ndio huwa natumia sana niseme ukweli kwenye swala la speed huwa hainiangushi pamoja kuwa ni 3G.
 
Hivi hii 600 GB 10 usiku AIRTEL kuna vocha hapa dar au unajiungaje maana nimeangalia komenti pengine kuna MTU ataeleza sijaona ninaomba msaada jamani
 
huwa zinakuwepo vyuoni, mara ya mwisho nilinunua DIT pale kituo cha mwendokasi, sema nasikia hazitengenezwi tena hizi vocha.
 
Mkuu TTCL ipo juu sana usifananishe na Tigo kwenye internet speed

Wote wako njema boss nazungumzia 4G Hapa tigo na experience kitu kizuri na TTCL na experience kitu kizuri na bado sipo katika ya mji pembezoni nipo ila mambo yako safi
 
Airtel wamebadilisha vifurushi kwenye ile menu yao ya *149*81#.au*149*81*4# Kile cha mia tano gb 1.2 wamepunguza hadi mb 500 na kile cha buku gb 2 siku 3 kimekuwa gb 1 na cha mwezi cha 6000 unapata gb 2 badala ya nne.
 
Attachments

  • Screenshot_2017-12-12-13-12-30_1.jpg
    Screenshot_2017-12-12-13-12-30_1.jpg
    52.3 KB · Views: 71
Sio sababu ya eneo mkuu?, mimi hii ndio huwa natumia sana niseme ukweli kwenye swala la speed huwa hainiangushi pamoja kuwa ni 3G.
Mitandao yetu ipo ovyo.
Tigo ilikuwa slow sana nikahamia Airtel baada ya kupata line ya Chuo ila nao kuanzia September wakawa wanazingua net yao inakata kata ovyo so nimeitupia mvunguni line yao baada ya kupata TTCL Boom line.
500 =800mb 24hrs na Amsha popo 1000 kwa 10gb siyo Mbaya maana speed ni ya rocket iwe 3g au 4g
 
Airtel wamebadilisha vifurushi kwenye ile menu yao ya *149*81#.au*149*81*4# Kile cha mia tano gb 1.2 wamepunguza hadi mb 500 na kile cha buku gb 2 siku 3 kimekuwa gb 1 na cha mwezi cha 6000 unapata gb 2 badala ya nne.
Washaanza kuboa hawa Airtel naona wanafata nyendo za Tigo kupunguza mb's
 
Mitandao yetu ipo ovyo.
Tigo ilikuwa slow sana nikahamia Airtel baada ya kupata line ya Chuo ila nao kuanzia September wakawa wanazingua net yao inakata kata ovyo so nimeitupia mvunguni line yao baada ya kupata TTCL Boom line.
500 =800mb 24hrs na Amsha popo 1000 kwa 10gb siyo Mbaya maana speed ni ya rocket iwe 3g au 4g
Hiyo gb 10 unapataje ndugu kwenye TTCL?
 
Back
Top Bottom