Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wapuuzi sana hawa wanalimit speed nimejiunga UN ya airtel money speed inacheza kwenye 30 to KB/s[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
airtel wanazingua sana wanakupa Gb nyingi halafu speed ya kobe.
 
Mm voda ya kwako tu wananipa
300mb kwa 500 wiki
1gb 1000 wiki
5gb 2000 mwezi
Sinaga shida na mb kabisa
Najiungaga mwezi
Gb5 kwa mwezi mbn chache sana mkuu inamaana ww huendagi kumchek dada wa taifa dada mange?maana ukienda uko gb zinaporomoka
 
Sasa tigo 4G na Halotel 3G ipi iko fasta???? Fanya uchunguzi afu niambie
tigo 4G ipo fasta maeneo mengi tu. hapa napata 30mbps kupanda. now natumia voda 4G ambayo unapata 40mbps na zaidi, same kwa TTCL,

hii nilichukua zamani kidogo
UxE7rXN.png


siku nikieka line ya Tigo 4G nitakuekea screenshot mpya, ila kama wiki nilitest speed yao walikuwa 31mbps.

halotel hapa ni 1mbps ikipanda 1.3mbps.
 
airtel wanazingua sana wanakupa Gb nyingi halafu speed ya kobe.
Spidi yao inategemea na eneo, kuna maeneo kuanzia msasani, masaki, posta spidi ipo poa sana, huwa naaangalia epl bila ya kustack sema ukitoka maeneo hayo ndo shida inaanza speed inakuwa ya kobe kweli
 
Back
Top Bottom