Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #921
wengi wanapata hio 5GB unaweza angalia page mbili tatu za nyuma, tunakusanya tu data ili tujue kama kuna mahusiano.Yes
Atuambie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengi wanapata hio 5GB unaweza angalia page mbili tatu za nyuma, tunakusanya tu data ili tujue kama kuna mahusiano.Yes
Atuambie
Ni line ya 4G voda nikinunua kwa mpesa ile ya kwako tu nimeshanunua zaidi ya mara 6 na sasa hivi nimecheki bado ipo.unaweza kushare ni line ya 4G au 3G? muonekano wa line upoje?
Sawa kaka..asantewengi wanapata hio 5GB unaweza angalia page mbili tatu za nyuma, tunakusanya tu data ili tujue kama kuna mahusiano.
then itakuwa ni random tu, mimi line yangu ya voda ya 4G sina hilo bundle, pia ya voda ya chuo sina, ila voda ya 3G kawaida napata hilo bundle la 5GB.Ni line ya 4G voda nikinunua kwa mpesa ile ya kwako tu nimeshanunua zaidi ya mara 6 na sasa hivi nimecheki bado ipo.
Speed yake nzuri sana jana nimedownload movie ya deadmen tell no tales ilikuwa na 1.5 gb nimeidownload ndani ya dakika kama 24 hivi maan ilikuwa inaenda mpaka mb7/sec
Device yako ni 4G ?Ni line ya 4G voda nikinunua kwa mpesa ile ya kwako tu nimeshanunua zaidi ya mara 6 na sasa hivi nimecheki bado ipo.
Speed yake nzuri sana jana nimedownload movie ya deadmen tell no tales ilikuwa na 1.5 gb nimeidownload ndani ya dakika kama 24 hivi maan ilikuwa inaenda mpaka mb7/sec
Yah ni 4G mkuu hata nkiset 3G speed bado kasi sanaDevice yako ni 4G ?
Mimi line ya Voda 4G ilinishinda haina gara spidi imezidiwa hata na Halotel
Nilijuta kuinunua
Mkuu mi device ni 3G eneo ni Kigogo ila Voda majanga tu kwanguYah ni 4G mkuu hata nkiset 3G speed bado kasi sana
Kwa siku ngapi? Na menu gani duuhMimi voda wananipa gb 5 kwa 2000
Kwa mwez mkuu nanunua from mpesa ya kwako tuKwa siku ngapi? Na menu gani duuh
Daaah ngoja namimi nichungulie hata sijui laini yangu nimeweka wapi,Kwa mwez mkuu nanunua from mpesa ya kwako tu
Iko poa sanaDaaah ngoja namimi nichungulie hata sijui laini yangu nimeweka wapi,
Nilihamiaga airtel buku gb2/3days
Hahahaaa pole sanaHii GB 5 kwa 2000 kutoka voda nishaitafuta lakini wapi sijui ni vigezo gani vimetumika baadhi ya wateja kupewa kwenye menu yao me naambulia MB 400 kwa buku elfu 2 kwa 1.5GB zitumike ndani ya masaa 24
Airtel kwa sasa *149*81# huu mzigo hatari kwa siku 500=2GB upewe nini tena??Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
-1gb kwa shilingi 600
Nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-Vifurushi vya chuo
Hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo
Vodacom
-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
Bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-Vifurushi vya chuo
Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Vifurushi vya chuo
Hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-Usiku 10g kwa sh 1500
Pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet.
TTCL
-Boom pack (vya chuo)
Kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb
pia wana vifurushi vya mwezi kwa sh 1500 utapata 2gb, 3000 utapata 4gb na shilingi 5000 utapata 7GB
kujiunga *148*30#
vifurushi vya usiku
kwa shilingi 1000 utapata gb 10 za 4g kuanIa saa 4 usiku hadi 12 asubuhi, kujiunga ni menu ile ile ya *148*30#.
Smart
-Unlimited bundle
Kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu
Vifurushi vya youtube
Zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.
Kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini.
Remote
Hiyo mpaka laini ya chuoAirtel kwa sasa *149*81# huu mzigo hatari kwa siku 500=2GB upewe nini tena??
Sema speed anajitahidi lakin Halotel ndo top
top wa nini? hivi unategemea mtandao wa 3g kupita speed mitandao ya 4g?Airtel kwa sasa *149*81# huu mzigo hatari kwa siku 500=2GB upewe nini tena??
Sema speed anajitahidi lakin Halotel ndo top