Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Nina line ya ttcl ya chuo napata gadhabu kinoma ctumii internet kwa raha full mnala kukatika.Ha!ha! Hivi vitu haviwezekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina line ya ttcl ya chuo napata gadhabu kinoma ctumii internet kwa raha full mnala kukatika.Ha!ha! Hivi vitu haviwezekani
Sehemu na sehemu, but hakuna mtandao wa smartphone na unaojali vipato vya Raia kama AIRTEL(Ha2pimi bundle)Airtel kimeo kwenye internet.
Nahisi hujatumia HalotelSehemu na sehemu, but hakuna mtandao wa smartphone na unaojali vipato vya Raia kama AIRTEL(Ha2pimi bundle)
True, sinaga michepuko nipogo njia kuu tuu, kwenye mtandaoNahisi hujatumia Halotel
haiwezekani mkuu 4G ni hardware huwezi kuichange kwa software pekee.Wakuu unaweza change tecno j5 kutoka 3g kwenda 4g?,maana nimesikia tetesi iyo kitu yawezekana.
Sawa mkuu.haiwezekani mkuu 4G ni hardware huwezi kuichange kwa software pekee.
Mkuu hii Gb 10 kwa 600 airtel, menu yake ikoje maana nimetafuta kwenye hii menu *149*81# na airtel money haionekani na pia *149*99#usijali wanunulie kitochi waeke humo, ndio wanapostahili kukaa
mpaka ununue vocha za chuo.Mkuu hii Gb 10 kwa 600 airtel, menu yake ikoje maana nimetafuta kwenye hii menu *149*81# na airtel money haionekani na pia *149*99#
Shukuran mkuu.mpaka ununue vocha za chuo.
Na je ukiwa na line ya chuo na nikatumia vocha za kawaida naweza pata iyo ofa?mpaka ununue vocha za chuo.
unatakiwa upate vocha ya chuo, zipo kibao mtaani, pia ipo namna ya kununua online, cheki na huyo agent wa udom.Na je ukiwa na line ya chuo na nikatumia vocha za kawaida naweza pata iyo ofa?
Nimewahi kuona humu code za kubadilisha kutoka 3G to 4G! Nikumbushe mkuuunatakiwa upate vocha ya chuo, zipo kibao mtaani, pia ipo namna ya kununua online, cheki na huyo agent wa udom.
hakuna kitu kama hicho, kama simu yako haina 4g jichange utafute yenye 4gNimewahi kuona humu code za kubadilisha kutoka 3G to 4G! Nikumbushe mkuu
Naona airtel wameupdate menu yao sasa hivi unaweza kupata vifurushi vya chuo bila ya kuwa na laini ya chuo kupitiaunatakiwa upate vocha ya chuo, zipo kibao mtaani, pia ipo namna ya kununua online, cheki na huyo agent wa udom.
cha usiku 10GB kipo? kwa 600Naona airtel wameupdate menu yao sasa hivi unaweza kupata vifurushi vya chuo bila ya kuwa na laini ya chuo kupitia
*149*81 kisha #4 UNI255 mpya
![]()
![]()
Hicho hakipocha usiku 10GB kipo? kwa 600
kuna offer kabambe pia ina vifurushi vyote vya chuo hata kama huna line ya chuo, ila kinachomisi ni hiko tu. na watu wengi wanakiulizia.Hicho hakipo