Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hojaAirtel wana SME ambayo kwangu naona iko more user-friend maana unajiunga peke yako bila kuhitaji watu wengine.
View attachment 3117276
Voda na Tigo wana Post-Paid ambazo naona wengi wanazilalamikia.
Halotel wao naona wana variety nyingi nyingi ikiwemo M2M ambayo naona wengi ndiyo wanaipenda.
Dooooh!Ni wazinguaji sana mkuu
Kabisa Mkuu Hawa isp wanatuibia sanaDooooh!
Hapo ina maana hakuna option ya maana tena zaidi ya fiber.
Ila kwanini TTCL wasitumie hii kuwa fursa ya kupiga pesa. Wanashindwaje kuweka huduma ya unlimited data packages kwa kutumia sim card? Yaani wawe na Wi-Fi mobile router za TTCL?Kabisa Mkuu Hawa isp wanatuibia sana
Hawana hiyo huduma hao kazi Yao ni kushirikiana na serikali kumpunguzia data mtanzania tuIla kwanini TTCL wasitumie hii kuwa fursa ya kupiga pesa. Wanashindwaje kuweka huduma ya unlimited data packages kwa kutumia sim card? Yaani wawe na Wi-Fi mobile router za TTCL?
Hii kitu haiwezekani au TTCL wanayo hii huduma ila mimi ndio sina taarifa?
Mbona wengine wanasema huko ndio kwenye neema hakuna yale mambo ya kupunguziana speed??Ni wazinguaji sana mkuu
Hakufai usithubutu Bora AirtelMbona wengine wanasema huko ndio kwenye neema hakuna yale mambo ya kupunguziana speed??
Imekuwaje tena??
Au walikuwa wanatujaza tujichanganye tuyavagae ili tuwe wengi tusichekane??
TTCL ndio ilitakiwa kurudisha haya makampuni mengine kwenye mstari sahihi.Hawana hiyo huduma hao kazi Yao ni kushirikiana na serikali kumpunguzia data mtanzania tu
Kabisa sema na wao wamekuwa hawana maono aiseeTTCL ndio ilitakiwa kurudisha haya makampuni mengine kwenye mstari sahihi.
Nataka ni switch ninunue Router ya Airtel nipate access ya kifurushi cha 70KHakufai usithubutu Bora Airtel
Upo sahihi mkuu hapo ni kubana matumizi tu na usi gawe sana utakuja kulia speed inakuwa ndogo sanaNataka ni switch ninunue Router ya Airtel nipate access ya kifurushi cha 70K
Ila kuna maoni ya baadhi ya wadau yamekuwa yananiweka njia panda na hii inakuja baada ya mimi kupewa ufafanuzi na Airtel wenyewe.
Kuna wengine wanasema wanapasua hadi 700GB bila speed kupungua.
Lakini wapo wengine wanasema wakifika 500GB mshale unalala kushoto
Na kule HQ waliniambia kwa package ya 70K ukifika 500GB lazima uchukue tochi ukatafute speed unakopajua.
Bado nafikiria hapa sijui nijitusu maana hii 110K kila mwezi inanitesa sana kubabake.
Issue ni capacity, ukitoa 5G hakuna network yoyote iwe 3G ama 4G yenye capacity ya Kuhudumia watu wengi. Na hata hio 5G compare na Fiber bado capacity yake ni ndogo sana.Ila kwanini TTCL wasitumie hii kuwa fursa ya kupiga pesa. Wanashindwaje kuweka huduma ya unlimited data packages kwa kutumia sim card? Yaani wawe na Wi-Fi mobile router za TTCL?
Hii kitu haiwezekani au TTCL wanayo hii huduma ila mimi ndio sina taarifa?
Asante Chief, japo nimetoka kapa!Issue ni capacity, ukitoa 5G hakuna network yoyote iwe 3G ama 4G yenye capacity ya Kuhudumia watu wengi. Na hata hio 5G compare na Fiber bado capacity yake ni ndogo sana.
Kuelewa zaidi kila mnara wa simu unakuwa na backhaul ambayo ni fiber ama Microwave so wewe kuletewa fiber ni equivalent ya kuletewa mnara wa simu nyumbani.
Hio tttcl Na mitandao mingine 4G yenyewe inazidiwa bila unlimited, kukiwa Na unlimited speed Itakua konokono.
Sababu ni hio hio capacity.Asante Chief, japo nimetoka kapa!
Kwahiyo data throttling ina umuhimu gani katika hii habari ya huduma ya internet? Kwanini iwe lazima kuwa mteja akifikisha matumizi ya data kiasi cha 500GB/1TB umpunguzie speed?
Maana mimi nilidhani inawezekana kutoa huduma bila kuweka data throttling kwa wateja.
Safi wameupiga mwingiFolks
Good news
Sasa ni rasmi kila Router imepewa access ya kifurushi cha 70K
Unaweza kucheki kwenye menu kama kipo
View attachment 3127488
Jaribu kucheki kwako kama kipoSafi wameupiga mwingi
Hata ya kwangu haikubalikwangu siipati mkuu, napata tu 800mb kwa sh 100n
Yangu niliuza mkuu nipo na ya voda nayo nitauza hii nirudie ya AirtelJaribu kucheki kwako kama kipo
Mi laini zote mbili kipo
Mi niliuza ya Halotel nilipoona wananiuzia godoro halafu wananinyima usingizi.Yangu niliuza mkuu nipo na ya voda nayo nitauza hii nirudie ya Airtel