Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ila kwanini TTCL wasitumie hii kuwa fursa ya kupiga pesa. Wanashindwaje kuweka huduma ya unlimited data packages kwa kutumia sim card? Yaani wawe na Wi-Fi mobile router za TTCL?
Hii kitu haiwezekani au TTCL wanayo hii huduma ila mimi ndio sina taarifa?
Hawana hiyo huduma hao kazi Yao ni kushirikiana na serikali kumpunguzia data mtanzania tu
 
Hakufai usithubutu Bora Airtel
Nataka ni switch ninunue Router ya Airtel nipate access ya kifurushi cha 70K

Ila kuna maoni ya baadhi ya wadau yamekuwa yananiweka njia panda na hii inakuja baada ya mimi kupewa ufafanuzi na Airtel wenyewe.

Kuna wengine wanasema wanapasua hadi 700GB bila speed kupungua.

Lakini wapo wengine wanasema wakifika 500GB mshale unalala kushoto

Na kule HQ waliniambia kwa package ya 70K ukifika 500GB lazima uchukue tochi ukatafute speed unakopajua.

Bado nafikiria hapa sijui nijitusu maana hii 110K kila mwezi inanitesa sana kubabake.
 
Upo sahihi mkuu hapo ni kubana matumizi tu na usi gawe sana utakuja kulia speed inakuwa ndogo sana
 
Ila kwanini TTCL wasitumie hii kuwa fursa ya kupiga pesa. Wanashindwaje kuweka huduma ya unlimited data packages kwa kutumia sim card? Yaani wawe na Wi-Fi mobile router za TTCL?
Hii kitu haiwezekani au TTCL wanayo hii huduma ila mimi ndio sina taarifa?
Issue ni capacity, ukitoa 5G hakuna network yoyote iwe 3G ama 4G yenye capacity ya Kuhudumia watu wengi. Na hata hio 5G compare na Fiber bado capacity yake ni ndogo sana.

Kuelewa zaidi kila mnara wa simu unakuwa na backhaul ambayo ni fiber ama Microwave so wewe kuletewa fiber ni equivalent ya kuletewa mnara wa simu nyumbani.

Hio tttcl Na mitandao mingine 4G yenyewe inazidiwa bila unlimited, kukiwa Na unlimited speed Itakua konokono.
 
Asante Chief, japo nimetoka kapa!

Kwahiyo data throttling ina umuhimu gani katika hii habari ya huduma ya internet? Kwanini iwe lazima kuwa mteja akifikisha matumizi ya data kiasi cha 500GB/1TB umpunguzie speed?

Maana mimi nilidhani inawezekana kutoa huduma bila kuweka data throttling kwa wateja.
 
Sababu ni hio hio capacity.

Assume mnara capacity yake ni GB 1 kwa sekunde, ina maana una uwezo wa Kuhudumia watu 100 tu kwa speed ya 10MB kwa sekunde, so akiongezeka wa 101, 102, 103 etc ujue tayari ni over capacity, je isp ana deal vipi na hio over capacity? Ndo unakuta wana throttle speed kwa wale wanaotumia sana.

Fiber haina hii issue sababu capacity ni kubwa mno, kile kiwaya kinaenda hadi 10GB kwa sekunde, we unaelipia 10mbps ama 20mbps ni kama kitone tu wala huistress capacity yake.

Ndio maana unakuta kampuni kama Zuku kawaida kukuta wanakuzidishia speed unalipa 10mbps wanakupa 40mbps.
 
Folks

Good news

Sasa ni rasmi kila Router imepewa access ya kifurushi cha 70K

Unaweza kucheki kwenye menu kama kipo
1729152449994.png
 
Back
Top Bottom