Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hao wote uliowataja wamewekewa na limit pia maana router zao zote nimetumiaSerikali inaingiaje, mkuu? Maana hii hainiingi akilini, kwa nini serikali iwaambie Airtel waweke kikomo lakini wasiwape masharti hayo hayo Vodacom na Tigo (ambao nao pia wanatoa huduma hii hii)?
Tangu lini, mkuu? Maana by December nitakuwa nimetimiza miaka 2 na Vodacom Supakasi na mara kadhaa navuka 1.5 Tb na sijawahi ona spidi imepungua.Hao wote uliowataja wamewekewa na limit pia maana router zao zote nimetumia
Kwenye router au unatumia supakasi kile kifurushi cha kawaida kama ni router ukifikisha TB 1 wanapunguza speedTangu lini, mkuu? Maana by December nitakuwa nimetimiza miaka 2 na Vodacom Supakasi na mara kadhaa navuka 1.5 Tb na sijawahi ona spidi imepungua
Ni kwenye router, kile kifurushi cha 5G 30 mbpsKwenye router au unatumia supakasi kile kifurushi cha kawaida kama ni router ukifikisha TB 1 wanapunguza speed
Hata mimi kwenye Airtel nilikuwa nafika matumizi kama yako na sikuwahi kukutana na hiyo changamoto ya speed kupungua.Tangu lini, mkuu? Maana by December nitakuwa nimetimiza miaka 2 na Vodacom Supakasi na mara kadhaa navuka 1.5 Tb na sijawahi ona spidi imepungua.
Duh basi hongera mie hadi hiyo router niliuza kwa wadauNi kwenye router, kile kifurushi cha 5G 30 mbps
Labda hii ni kwa wateja wapya na wazamani tumenusurika. Niendelee kuomba.Hata mimi kwenye Airtel nilikuwa nafika matumizi kama yako na sikuwahi kukutana na hiyo changamoto ya speed kupungua.
Lakini humu nilikuwa nasoma malalamiko ya baadhi ya wadau wakidai speed inapungua pindi inapofika 1TB, na mimi nilikuwa nawapinga kama wewe mpaka pale yalipoanza kunikuta.
So inawezekana kuna baadhi ya watu bado hiyo system ya throttling haijaanza kuwa active au itakuja kwa kuchelewa lakini kama kuna watumiaji wa Voda wanalalamika throttling basi ni swala la muda tu itakufikia.
Sasa penye unafuu ni wapi kwa wale wapenzi wa high data consumption?Duh basi hongera mie hadi hiyo router niliuza kwa wadau
Zote Zina unafuu sema ndio hivyo network ipo chini sana kwa router za haloteliSasa penye unafuu ni wapi kwa wale wapenzi wa high data consumption?
Yan washaona watu wanafaidi,serikali aipendi raia wake wawe na unafuu!Hii nzuri sana sema tatizo serikali ilivyo anza tamaa ya kuingilia huku naona speed skuizi wanaichezea wanavyotaka hao ukifikisha gb 400 speed ndogo
Naunga mkono hojaYan washaona watu wanafaidi,serikali aipendi raia wake wawe na unafuu!
Kuhusu Vodacom mimi nimewai kutumia zaidi ya 3TB na kasi ikawa ipo pale pale na ni zaidi ya 3 au 4 nnatumia zaidi na kasi iko fresh ila Airtel nilitumia mara 1 tu nilivyofikisha 1TB speed ikashuka nikampigia alienipa ile Router mwanzoni akawa ananipanga ila baadae ndio akanitonya kuwa ukifikisha 1TB speed inashuka ndio nikaamua kurudi kutumia Router ya Vodacom.Hata mimi kwenye Airtel nilikuwa nafika matumizi kama yako na sikuwahi kukutana na hiyo changamoto ya speed kupungua.
Lakini humu nilikuwa nasoma malalamiko ya baadhi ya wadau wakidai speed inapungua pindi inapofika 1TB, na mimi nilikuwa nawapinga kama wewe mpaka pale yalipoanza kunikuta.
So inawezekana kuna baadhi ya watu bado hiyo system ya throttling haijaanza kuwa active au itakuja kwa kuchelewa lakini kama kuna watumiaji wa Voda wanalalamika throttling basi ni swala la muda tu itakufikia.
Vincenzo Jr we kwani ulifikisha kiasi gani cha matumizi hadi ukakutana na throttling?Kuhusu Vodacom mimi nimewai kutumia zaidi ya 3TB na kasi ikawa ipo pale pale na ni zaidi ya 3 au 4 nnatumia zaidi na kasi iko fresh ila Airtel nilitumia mara 1 tu nilivyofikisha 1TB speed ikashuka nikampigia alienipa ile Router mwanzoni akawa ananipanga ila baadae ndio akanitonya kuwa ukifikisha 1TB speed inashuka ndio nikaamua kurudi kutumia Router ya Vodacom.
ni kweliwakuu kuna matangazo ys router ya airtel 5g inauzwa 110,000/ unatumia mwezi mmoja free baadae unalipa 70k kwa 10Mbs.... hii ina ukweli kiasi gani nisije kupigwa?
Hiyo hawauzi wanakupa bure ila iyo laki Moja na 10 ndio unalipia mwezi wa kwanza miezi inayofuata utaendelea kulipia elfu sabini kama kawawakuu kuna matangazo ys router ya airtel 5g inauzwa 110,000/ unatumia mwezi mmoja free baadae unalipa 70k kwa 10Mbs.... hii ina ukweli kiasi gani nisije kupigwa?
Gb 700 au kwa sababu nilikuwa nagawa sana password kitaani ndio maana ilikuwa nzito maana nilikuwa nafanyia watu kwa siku buku unlimited afu siku nyingine network speed inakuwa mbps 4Vincenzo Jr we kwani ulifikisha kiasi gani cha matumizi hadi ukakutana na throttling?
Mbps4 mbona nyingi sanaGb 700 au kwa sababu nilikuwa nagawa sana password kitaani ndio maana ilikuwa nzito maana nilikuwa nafanyia watu kwa siku buku unlimited afu siku nyingine network speed inakuwa mbps 4
Ila ilikuwa hata movie kudownload inakuwa miyeyusho kujaa aisee niliuza router yanguMbps4 mbona nyingi sana
Ukipunguziwa speed ni chini ya Mbps 3 yani normally ni 2 hadi 0.81Mbps
Hapo ni single user
thanks. kwa hiyo haina tofauti na zile zilikuwa zinauzwa 200k? lengo nataka niuze mtaani kwa buku buku per dayHiyo hawauzi wanakupa bure ila iyo laki Moja na 10 ndio unalipia mwezi wa kwanza miezi inayofuata utaendelea kulipia elfu sabini kama kawa