Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Tangu lini, mkuu? Maana by December nitakuwa nimetimiza miaka 2 na Vodacom Supakasi na mara kadhaa navuka 1.5 Tb na sijawahi ona spidi imepungua.
Hata mimi kwenye Airtel nilikuwa nafika matumizi kama yako na sikuwahi kukutana na hiyo changamoto ya speed kupungua.

Lakini humu nilikuwa nasoma malalamiko ya baadhi ya wadau wakidai speed inapungua pindi inapofika 1TB, na mimi nilikuwa nawapinga kama wewe mpaka pale yalipoanza kunikuta.

So inawezekana kuna baadhi ya watu bado hiyo system ya throttling haijaanza kuwa active au itakuja kwa kuchelewa lakini kama kuna watumiaji wa Voda wanalalamika throttling basi ni swala la muda tu itakufikia.
 
Labda hii ni kwa wateja wapya na wazamani tumenusurika. Niendelee kuomba.
 
Hata mimi kwenye Airtel nilikuwa nafika matumizi kama yako na sikuwahi kukutana na hiyo changamoto ya speed kupungua.

Lakini humu nilikuwa nasoma malalamiko ya baadhi ya wadau wakidai speed inapungua pindi inapofika 1TB, na mimi nilikuwa nawapinga kama wewe mpaka pale yalipoanza kunikuta.

So inawezekana kuna baadhi ya watu bado hiyo system ya throttling haijaanza kuwa active au itakuja kwa kuchelewa lakini kama kuna watumiaji wa Voda wanalalamika throttling basi ni swala la muda tu itakufikia.
Kuhusu Vodacom mimi nimewai kutumia zaidi ya 3TB na kasi ikawa ipo pale pale na ni zaidi ya 3 au 4 nnatumia zaidi na kasi iko fresh ila Airtel nilitumia mara 1 tu nilivyofikisha 1TB speed ikashuka nikampigia alienipa ile Router mwanzoni akawa ananipanga ila baadae ndio akanitonya kuwa ukifikisha 1TB speed inashuka ndio nikaamua kurudi kutumia Router ya Vodacom.
 
Vincenzo Jr we kwani ulifikisha kiasi gani cha matumizi hadi ukakutana na throttling?
 
wakuu kuna matangazo ys router ya airtel 5g inauzwa 110,000/ unatumia mwezi mmoja free baadae unalipa 70k kwa 10Mbs.... hii ina ukweli kiasi gani nisije kupigwa?
Hiyo hawauzi wanakupa bure ila iyo laki Moja na 10 ndio unalipia mwezi wa kwanza miezi inayofuata utaendelea kulipia elfu sabini kama kawa
 
Gb 700 au kwa sababu nilikuwa nagawa sana password kitaani ndio maana ilikuwa nzito maana nilikuwa nafanyia watu kwa siku buku unlimited afu siku nyingine network speed inakuwa mbps 4
Mbps4 mbona nyingi sana

Ukipunguziwa speed ni chini ya Mbps 3 yani normally ni 2 hadi 0.81Mbps

Hapo ni single user
 
Back
Top Bottom