Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna all sport channels hapo. Na pia na hisi channel kibao za mpira wana vuta toka huku wa onyesha. sports channels kulipia ni wizi mtupu ila zipo sehemu ni free na hakuna buffering hata tone na all ni HD mpaka FHD.Iko hivi haya mavitu yana loop hole ila sio watu wote wana weza kukuambia ukweli wapi pana utelezi,
 
Chanell za kulipia mkuu zina dedicated server, hawawezi tumia hizi server za Changanyikeni, mpaka bitrate inakuwa kubwa.

Stream ya bure angalia camera inapomove haraka kwenye mpira inakua blur kabisa huwezi ona kitu ila stream ya kulipia bitrate kubwa inakaribiana na Dstv.
 
Kaka kuprove pitia link nilio kupa utoe feedback ndio mana nakuambia kuna siri, Sijawah kuona blur kwenye hizo channels na tatizo hapo nimetoa moja ya ila zipo kibao.
 
Kwa Mpira utatumia Yacine TV ipo kwenye simu hadi kwenye TV unaweza ku download, Kwenye upande wa Movie kuna Onstream, inapatikana kote kwenye simu na TV. kazi kwako.
 
Tafuta dikoda pori ule dstv package ya juu kwa bei ya mteremko. tafuta jamaa wa mbeya zinaingia sana kutokea Zambia au hapo kariakoo kwa maduka ya wahindi
 
Kama chief mkwawa alivyosema hapo juu, sio reliable ila walau unaweza kucheki mechi japo pia huwa iko nyuma kwa dakika kama 1 mpk 2
Zipo app ambazo ni stable zimetulia hazina hizo kasoro.

Na hiyo inatokana na wadau wengi kutumia hiyo app na kusababisha server kuelemewa.

Hata Azam Max nayo inachangamoto ya buffering. Bando la Mbps 30 hata uwe single user ni ngumu ku stream mechi ya Simba na Yanga bila buffering tena iwe desktop version ndio utajuta.

Ila mechi ya Mtibwa na Coastal kwa speed ya 5Mbps unaangalia vizuri mwanzo hadi mwisho bila buffering.
 
Mimi Zuku 40mbps kitu 1ms ping na Azam inazingua, tatizo la Azam sometime wanapenda kutoa vitu Quality sana matokeo yake server zinazidiwa, wangewaekea tu watu wa Simu default 240p kama Startimes na HD ikawa Optional.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…