Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #10,121
Sana sana Epl na Mpira kwa Ujumlawewe mdau wa nini nikupe ya bure moja uwakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana sana Epl na Mpira kwa Ujumlawewe mdau wa nini nikupe ya bure moja uwakika
Kula hii HD Streamz APK Download Latest Version 2024 For Android download and install kwenye android box au android tv ulete feedbackSana sana Epl na Mpira kwa Ujumla
Chanell za kulipia mkuu zina dedicated server, hawawezi tumia hizi server za Changanyikeni, mpaka bitrate inakuwa kubwa.Kuna all sport channels hapo. Na pia na hisi channel kibao za mpira wana vuta toka huku wa onyesha. sports channels kulipia ni wizi mtupu ila zipo sehemu ni free na hakuna buffering hata tone na all ni HD mpaka FHD.Iko hivi haya mavitu yana loop hole ila sio watu wote wana weza kukuambia ukweli wapi pana utelezi,
Nitakupa Mrejesho.Kula hii HD Streamz APK Download Latest Version 2024 For Android download and install kwenye android box au android tv ulete feedback
Kaka kuprove pitia link nilio kupa utoe feedback ndio mana nakuambia kuna siri, Sijawah kuona blur kwenye hizo channels na tatizo hapo nimetoa moja ya ila zipo kibao.Chanell za kulipia mkuu zina dedicated server, hawawezi tumia hizi server za Changanyikeni, mpaka bitrate inakuwa kubwa.
Stream ya bure angalia camera inapomove haraka kwenye mpira inakua blur kabisa huwezi ona kitu ila stream ya kulipia bitrate kubwa inakaribiana na Dstv.
Kwa Mpira utatumia Yacine TV ipo kwenye simu hadi kwenye TV unaweza ku download, Kwenye upande wa Movie kuna Onstream, inapatikana kote kwenye simu na TV. kazi kwako.Hodi wakuu, nimekuwa nikiwaza chaguo lipi ni sahihi kwa sisi wapenda burudani ya soka. Nikilipia kifurushi cha compact dstv(64k) napata mechi za epl zote ila za uefa ni baadhi, naona hapa watu wengi wakizungumzia uwepo wa option ya kulipia internet 70k kwa mwezi ambayo naona haitofautiani sana na ile bei ya compact
Sasa swali langu liko hapa, kuna uwezekano wa kupata burudani ya soka bila changamoto yoyote endapo nitakuwa na reliable internet? Kwa maana kuna sites za uhakika au labda app au chochote tu kile ambacho kitafanikisha kutazama kabumbu bila kikwazo? Kwa wajuvi naomba muongozo tafadhali
Atumie CRICFy TV ipo vizuri piaKwa Mpira utatumia Yacine TV ipo kwenye simu hadi kwenye TV unaweza ku download, Kwenye upande wa Movie kuna Onstream, inapatikana kote kwenye simu na TV. kazi kwako.
Tafuta dikoda pori ule dstv package ya juu kwa bei ya mteremko. tafuta jamaa wa mbeya zinaingia sana kutokea Zambia au hapo kariakoo kwa maduka ya wahindiHodi wakuu, nimekuwa nikiwaza chaguo lipi ni sahihi kwa sisi wapenda burudani ya soka. Nikilipia kifurushi cha compact dstv(64k) napata mechi za epl zote ila za uefa ni baadhi, naona hapa watu wengi wakizungumzia uwepo wa option ya kulipia internet 70k kwa mwezi ambayo naona haitofautiani sana na ile bei ya compact
Sasa swali langu liko hapa, kuna uwezekano wa kupata burudani ya soka bila changamoto yoyote endapo nitakuwa na reliable internet? Kwa maana kuna sites za uhakika au labda app au chochote tu kile ambacho kitafanikisha kutazama kabumbu bila kikwazo? Kwa wajuvi naomba muongozo tafadhali
Kwa wenye unlimited data, hii inawafaa sanaAtumie CRICFy TV ipo vizuri pia
Ila ina mtindo wa kujikata automatically wakati wa streamingKwa wenye unlimited data, hii inawafaa sana
Kama chief mkwawa alivyosema hapo juu, sio reliable ila walau unaweza kucheki mechi japo pia huwa iko nyuma kwa dakika kama 1 mpk 2Ila ina mtindo wa kujikata automatically wakati wa streaming
Hii inatokea sana ila uzuri wake ni HDIla ina mtindo wa kujikata automatically wakati wa streaming
Wangeisambaza sehemu zote basi leo nilikuwa naagana rasmi na Airtel.Voda wameanza kulegeza, soon nadhani itakuwa official adi watimiaki wa kawaida ni FWE
View attachment 3173855
Yeah! Wenye bando la reja reja hii hapana maana bando linatembea sio mchezoKwa wenye unlimited data, hii inawafaa sana
Zipo app ambazo ni stable zimetulia hazina hizo kasoro.Kama chief mkwawa alivyosema hapo juu, sio reliable ila walau unaweza kucheki mechi japo pia huwa iko nyuma kwa dakika kama 1 mpk 2
Ni kwasababu app imekuwa popular sana na watu wengi wanaitumia.Hii inatokea sana ila uzuri wake ni HD
Mimi Zuku 40mbps kitu 1ms ping na Azam inazingua, tatizo la Azam sometime wanapenda kutoa vitu Quality sana matokeo yake server zinazidiwa, wangewaekea tu watu wa Simu default 240p kama Startimes na HD ikawa Optional.Zipo app ambazo ni stable zimetulia hazina hizo kasoro.
Na hiyo inatokana na wadau wengi kutumia hiyo app na kusababisha server kuelemewa.
Hata Azam Max nayo inachangamoto ya buffering. Bando la Mbps 30 hata uwe single user ni ngumu ku stream mechi ya Simba na Yanga bila buffering tena iwe desktop version ndio utajuta.
Ila mechi ya Mtibwa na Coastal kwa speed ya 5Mbps unaangalia vizuri mwanzo hadi mwisho bila buffering.