Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
-
- #10,161
Laki 5 mkuu kuna jamaa anauza City Mall, kuna Mtu alinunua then Hakuipenda Akanipa.Umenunua wapi hii kaka nimekua naitafuta kwa muda sana
mfano hapa karibuni mitandao ya simu ilikuwa inasumbua sana je unamsaidiaaje ndugu yetu ambae amefuata kila kitu na hana janja janjaMkuu mbona watu wanatumia sana , mi naoma internet ni kila kitu kwa sasa, application zipo kibao kwa sasa kama una uhakika wa mtandao huwezi kukosa kitu , iwe mpira , na michezo mingine. Labda usiwe mjanja mjanja .
Moja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.Mi ndio maana naweza nikawa na laptop yangu hapo lakini nikatumia simu ku stream mpira kwasababu ya hiyo changamoto.
Ngoja ntaitestMoja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.
Kuna hii Link hakuna Mechi inaacha FawaNews - Your Home of Sport
Msimu huu naona watu wa mpira ni sehemu ya kuishi humo. Nimeona recomndations za app nyingi humu ila nyingi ni maumivu tu. Hii kama hukuitumia kabla uje toa Mrejesho mkuu.
Aisee, hadi NBC PL ya bongo ipo?Moja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.
Kuna hii Link hakuna Mechi inaacha FawaNews - Your Home of Sport
Msimu huu naona watu wa mpira ni sehemu ya kuishi humo. Nimeona recomndations za app nyingi humu ila nyingi ni maumivu tu. Hii kama hukuitumia kabla uje toa Mrejesho mkuu.
Mkuu hadi NBC PL ipo😂Ngoja ntaitest
Mechi za CAF si uhakika??
Inafaa mkuu! Tafuta dish lenye uelekeo wa kaburu weka satelite yake ya Eutelsat 36 then search!Nina decoder ya spider zile wanauza na IPTV packages za miaka 10, zina forever nayo ya miaka 10, hawa wamo ama ni specific kwa model fulani tu?
Aisee hiyo link isijulikane tu, soon Azam watarusha bomu la mkono
Nimejaribu kupitia PC hiyo link imenigomea
Kwenye simu inapiga kazi freshNimejaribu kupitia PC hiyo link imenigomea
View attachment 3175840
Mechi za CAF si uhakika??
Mkuu hao magwiji hawaachagi game! za NBC zinakuwaga chache sana na mara moja moja ila CAF zote wanaonyesha na streaming yao unasahau kabisa kama unafanya streaming,Aisee, hadi NBC PL ya bongo ipo?
Futa hiyo s kwenye Https na iwe http, page haiko securedNimejaribu kupitia PC hiyo link imenigomea
View attachment 3175840
Yap nimeitest kwenye simu iko poa sanaKwenye simu inapiga kazi fresh
Ngoja nijaribu MkuuFuta hiyo s kwenye Https na iwe http, page haiko secured
Ngoja nijaribu hiiMoja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.
Kuna hii Link hakuna Mechi inaacha FawaNews - Your Home of Sport
Msimu huu naona watu wa mpira ni sehemu ya kuishi humo. Nimeona recommendations za app nyingi humu ila nyingi ni maumivu tu. Hii kama hukuitumia kabla uje toa Mrejesho mkuu.
Sawa sawa mkuu japo hapo gharama naona kama inazidi kushoot ila kama ni kitu cha uhakika basi safi sanaMimi ni mdau wa movies na series sana ila mpira kiasi tu pale napo kuta upo na angalia. Natumia internet ya 70k toka Airtel na IPTV package moja toka South Africa kwa 8usd kwa mwezi nikilipia kwa miezi 6 inakuwa 40usd au mwaka 80usd. ndani napata super sports zote HD version plus Azam 1,2,3. Plus other DSTv channels. Pia ndani napata SEries na movies zote latest za HBO, Hulu, Netflix, Apple Tv, etc. So via Airtel 70k na IPTV 8usd swala la soka na movies nimemaliza kero za kudownload nimeacha na miezi kama sita sasa. Inshort hii package buffering chache sana
Sawa sawa mkuuKwa Mpira utatumia Yacine TV ipo kwenye simu hadi kwenye TV unaweza ku download, Kwenye upande wa Movie kuna Onstream, inapatikana kote kwenye simu na TV. kazi kwako.
Ni kweli mkuu, unlimited unaweza kupiga na miguu yote, japo mara kadhaa kama kuna mdau nimeona amesema unakuta link zinazengua unajikuta mambo yamekaa sawa watu wako halftime ila kama ni mara moja moja sio mbayaKulipia unlimited kuna faida kuliko dstv. Kwa sababu kuna access nyingi za kustream online kwa sasa, kuna apps kibao na ni HD.
Pia kwa sababu router nyingi ni portable na zina powerbank, unakuwa huna haja ya kuwa nyumbani ili utazame mpira au movies, muda wowote mahali popote unatazama mpira au movies kwenye simu yako, na hata ukirudi home una option ya kuendelea na tv yako.
Hii kitu kweli noma nimeitest naona inapiga mzigo safi sana had nbc ndaniiMoja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.
Kuna hii Link hakuna Mechi inaacha FawaNews - Your Home of Sport
Msimu huu naona watu wa mpira ni sehemu ya kuishi humo. Nimeona recommendations za app nyingi humu ila nyingi ni maumivu tu. Hii kama hukuitumia kabla uje toa Mrejesho mkuu.