Hata model ya hizo router ungetutajia ingependeza zaidi kama ka picha kameshindikana..Hazina lock mkuu zipo za elfu sabini na zipo za laki moja mkuu
tiGo/Yass, na Halotel wanasema Pocket Wi-fi zao wanazouza 50,000 na unapata 20GB. Kama kuna mtu anatumia atupe uzoefu hasa kwenye speed.
Vile vya Airtel Pocket MiFi ni cheche, unaweza chukia ukakatupa au kukapasua tu... Napokaa mie Airtel ina speed kali sana kwa simu huwa napata kati ya 60-80 Mbps kwa 4G+ tu, ila kile kitakataka speed ni 5 - 8 Mbps hapo kamejitahidi mno, upload ndo kabisa hakapandi obviously wamevifinya speed afu ni unstable....tiGo/Yass, na Halotel wanasema Pocket Wi-fi zao wanazouza 50,000 na unapata 20GB. Kama kuna mtu anatumia atupe uzoefu hasa kwenye speed.
Vile vya Airtel Pocket MiFi ni cheche, unaweza chukia ukakatupa au kukapasua tu... Napokaa mie Airtel ina speed kali sana kwa simu huwa napata kati ya 60-80 Mbps kwa 4G+ tu, ila kile kitakataka speed ni 5 - 8 Mbps hapo kamejitahidi mno, upload ndo kabisa hakapandi obviously wamevifinya speed afu ni unstable....
Kuna tofauti gani ya hizi device, Yass ni Mi-Fi, na Halotel ni Wi-fi/Router.Vile vya Airtel Pocket MiFi ni cheche, unaweza chukia ukakatupa au kukapasua tu... Napokaa mie Airtel ina speed kali sana kwa simu huwa napata kati ya 60-80 Mbps kwa 4G+ tu, ila kile kitakataka speed ni 5 - 8 Mbps hapo kamejitahidi mno, upload ndo kabisa hakapandi obviously wamevifinya speed afu ni unstable....
Mie nahitaji internet unlimited kupitia:
1. Sim card; na
2. Pocket router 4G (universal).
Nahitaji simcard hiyo niwe natumia kwenye simu, na muda mwingine naweka kwenye router pia.
Ni mtandao upi wanatoa simcard pekee with unlimited internet?
Na je, ni pocket router ipi ambayo ni universal with strong connection?
Ambayo uhakika ni Halotel sema ndio wana throttle speed baada ya 100GB.Mie nahitaji internet unlimited kupitia:
1. Sim card; na
2. Pocket router 4G (universal).
Nahitaji simcard hiyo niwe natumia kwenye simu, na muda mwingine naweka kwenye router pia.
Ni mtandao upi wanatoa simcard pekee with unlimited internet?
Na je, ni pocket router ipi ambayo ni universal with strong connection?
Option rahisi niliyoipata kwa sasa ni line ya m2m hawa halotel wanatoa gb 38 kwa 30kMie nahitaji internet unlimited kupitia:
1. Sim card; na
2. Pocket router 4G (universal).
Nahitaji simcard hiyo niwe natumia kwenye simu, na muda mwingine naweka kwenye router pia.
Ni mtandao upi wanatoa simcard pekee with unlimited internet?
Na je, ni pocket router ipi ambayo ni universal with strong connection?
Cha 30K Ukimaliza GB 38 ndio basi hupati unlimited?Option rahisi niliyoipata kwa sasa ni line ya m2m hawa halotel wanatoa gb 38 kwa 30k
Wakati mwingine hutoa na bonus ya gb 7 kila ukijiunga kifurushi cha mwezi cha 30k
Hata mimi natafuta pocket wifi pia ili niweke hii line.
Ndio kwa kifupi unapewa gb 38 kwa 30kCha 30K Ukimaliza GB 38 ndio basi hupati unlimited?
hiyo line inapatikana kwa bei gani mkuuNdio kwa kifupi unapewa gb 38 kwa 30k
Line iliyopotea nilikuwa kila nikijiunga napewa bonus ya gb7 zingine. So jumla nilikuwa nakuwa na gb 45.
5000..hiyo line inapatikana kwa bei gani mkuu
Cha 30K Ukimaliza GB 38 ndio basi hupati unlimited?
Inategemea na model ila WiFi ya simu Inaweza kuwa advanced zaidi.Hivi mkuu kuna tofauti gani kati ya WiFi ya simu yangu na pocket WiFi?Si ninaweza tu kutumia simu yangu ya smartphone kama pocket WiFi device?
Sasa mkuu ni kwa nini watu wananunua pocket WiFi ingali wana smart phones?Inategemea na model ila WiFi ya simu Inaweza kuwa advanced zaidi.
Kutoa wifi kwenye simu yako na kuvipa vifaa kadhaa inakula chaji sana, ukiwa na pocket WiFi hata simu yako ukaaji chaji unaongezeka, hilo na simu kupata joto inaweza pelekea hata simu yako kufa battery.Sasa mkuu ni kwa nini watu wananunua pocket WiFi ingali wana smart phones?
Kama una backup phone ambayo ina angalau 4G ambayo huizingatii (hutegemei kuitumia sana) huna haja ya kununua hizi pocket WiFi...Sasa mkuu ni kwa nini watu wananunua pocket WiFi ingali wana smart phones?