Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
-
- #10,501
Kuna Faiba wengine kina Zuku bado hawana habari, ukitoa TTCL na savannah wengi hawawezi match hio value.Ninaona kuwa Airtel wamefanya maboresho kidogo katika vifurushi vyao. Ni mwelekeo mzuri sana kwa tusio kwenye maeneo yenye faiba.
Zuku 🤣 hivi hawa jamaa bado wapo (maana wapinzani ni wengi sana ila bei zao zipo palepale).Kuna Faiba wengine kina Zuku bado hawana habari, ukitoa TTCL na savannah wengi hawawezi match hio value.
Hapa ni lazima uwe na router na line iliyosajiriwa na router kwa vifurushi hivyo?Ninaona kuwa Airtel wamefanya maboresho kidogo katika vifurushi vyao. Ni mwelekeo mzuri sana kwa tusio kwenye maeneo yenye faiba.
70,000 - 20mbps
110,000 - 40mbps
Pamoja na punguzo kama ukilipia miezi kadhaa mbele.
Ninadhani itakuwa hivyo maana kuvilipia lazima uandike namba ya simu ya router yako.Hapa ni lazima uwe na router na line iliyosajiriwa na router kwa vifurushi hivyo?
Ninaona kuwa Airtel wamefanya maboresho kidogo katika vifurushi vyao. Ni mwelekeo mzuri sana kwa tusio kwenye maeneo yenye faiba.
70,000 - 20mbps
110,000 - 40mbps
Pamoja na punguzo kama ukilipia miezi kadhaa mbele.
Ila kifurushi chao cha 60 ni 15Mbps huku kwetu ni 20mbps, so kwenye bei ndogo Sisi tuna value zaidi.Bado iko juu kuliko Airtel Kenya kwa same router na pia router ni free mtu analipia subscription tu ya mwezi.
40mbps ni Ksh 4999 roughly kama Tsh 99,000 ushindani kule mkubwa sana kuna kampuni nyingi sana za fiber.
Kuna kampuni hadi zinatoa plan za siku kama 5mbps, 8 mbps, na unlimited zingine kwa mwezi zinaanzia 8mbps .
Ushindani ukiwa mkubwa bei itashuka tu hapo bado iko juu kiasi.
Nawasilisha.
safari ya 50k 10mbps io naionaKuna Faiba wengine kina Zuku bado hawana habari, ukitoa TTCL na savannah wengi hawawezi match hio value.
Savannah 49K unapata 20mbps, na wanasambaa kwa kasi, kuna mdau alieleta Feedback humu Manyanya Kinondoni wapo, Huku mjini washakichafua vya Kutosha.safari ya 50k 10mbps io naiona
Yas 50k kwa mwez through partner waosafari ya 50k 10mbps io naiona
Boss huna mtu anayeunga kwenye router binafsi airtel kwa 50k maana jamaa kaniambia had ninunue router ya 150k kwakeSavannah 49K unapata 20mbps, na wanasambaa kwa kasi, kuna mdau alieleta Feedback humu Manyanya Kinondoni wapo, Huku mjini washakichafua vya Kutosha.
Hata hao kina Tigo na Airtel siku hizi naona kuna huduma nyuma ya Mlango za bei rahisi zaidi unlimited.
waje na mikoani hawaSavannah 49K unapata 20mbps, na wanasambaa kwa kasi, kuna mdau alieleta Feedback humu Manyanya Kinondoni wapo, Huku mjini washakichafua vya Kutosha.
Hata hao kina Tigo na Airtel siku hizi naona kuna huduma nyuma ya Mlango za bei rahisi zaidi unlimited.
Mtandao gani unatoa hiyo huduma kwa Tanzania?Ila kifurushi chao cha 60 ni 15Mbps huku kwetu ni 20mbps, so kwenye bei ndogo Sisi tuna value zaidi.
Mdau hapo juu ameelezea Airtel wameshusha bei na kuongeza speed. Comment hiiMtandao gani unatoa hiyo huduma kwa Tanzania?
Nahitaji hii connection. Halotel unlimeted yao ya 50k inanitesa.Mdau hapo juu ameelezea Airtel wameshusha bei na kuongeza speed. Comment hii
Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu
5000 Kwa sasa ni 10,000/= labda kama wanatofautiana bei kati ya kituo na kituo.www.jamiiforums.com
Pia Voda wanayo japo sijajua procedure zipoje ambayo ni official ni 70K kwa 10mbps ila wadau mtaani wana unlimited ya 60k.
Pia un official zipo za Tigo, Airtel na wengine ila sijazofahamu vizuri zaidi reliability zake.
Sijui kama ni wewe ama mwengine lakini huyo jamaa ni tapeli na amenitapeli na inauma kweli kupoteza pesa kizembe,Mcheki huyo jamaa WhatsApp 0750294261
Duh! Pole sana.Sijui kama ni wewe ama mwengine lakini huyo jamaa ni tapeli na amenitapeli na inauma kweli kupoteza pesa kizembe,